Mrembo Rushayna ashindwa kujieleza kwa kingereza katika tukio la Kimataifa la Mashariki creative Expo 2026

Hizi lawama mnatupa bure maana huko insta waitingisha makalio mnawashangilia.

Hao ni watu mliowatengeneza wenyewe.
 
Hizi lawama mnatupa bure maana huko insta waitingisha makalio mnawashangilia.

Hao ni watu mliowatengeneza wenyewe.
Hao,na wakina mobeto si mliwapeleka na kuwakaribisha mjengoni dom 😄
Aise,kweli sahv ukishakuwa na kalio kubwa basi umetoboa

Ova
 
Kwani kuzungumza kingereza ni big deal ?
Kutokujua lugha fulani siyo kosa labda kama awe alisema mwenyewe kuwa anaweza kuongea kingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…