Punguza jazba mkuu, kulikuwa hamna ulazima wa kuwaweka wazazi wake.Anajua kupika nini kama ugali hawezi?
Mahari ya milioni 10 ni ya kumchukua yeye na wazazi wake?
Kwani anauza nini cha gharama hivyo?
Usimfukuzie mwenzio wachumba bwana![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mahari
ml.10 kwa Kipi hasa alichonacho hiyo shape yakuchonga mana sura yenyewe inasikitisha[emoji30] afu zaidi hajui kupika Hahah Mwanaume atayemuoa atakuwa hajielewi nae[emoji57][emoji57]
Agrrr wanawake Wengine hawajielewi buana jitu halijui hata kupika unaoa la Nini sasaUsimfukuzie mwenzio wachumba bwana!
Kiukweli hao huwa sio wa kuona ukisikia mtu anasema mwanamke ni chombo cha Starehe basi huwa anamaanisha wanawake wa hivyo.Agrrr wanawake Wengine hawajielewi buana jitu halijui hata kupika unaoa la Nini sasa