Mrembo Sanchoka asema hajui kupika ugali

Mrembo Sanchoka asema hajui kupika ugali

Mkuu kupanga ni kuchagua. Na mtoto umleavyo..... Bahati mbaya ya hii profession haiwezi kudumu! Na mapato yake huwezi kuyatumia kuinvest hivyo mwisho wake huwa ni mbaya. Uzuri ni kama ua tu na Ukimwi Nje Nje
Haha labda mwenzetu biashara yake inamlipa Sana huoni pesa aloitaja tu kwa ajili yamahari Ila Hakuna marefu yasiyo na ncha lakin
 
Punguza jazba mkuu, kulikuwa hamna ulazima wa kuwaweka wazazi wake.
Yeye kajiangalia kwenye kioo, akaona thaman ya hilo nundu linafikia mil 10... ana haki ya kujipa value anayotaka hata kama haiakisi ukweli.
Milioni kumi kupika ugali hajui.
 
Mrembo mwenye shepu ya kuvunja chaga wa bongo Sanchoka amesema katika malezi yake hajawahi wala hajui namna ya kupika ugali.
Sanchoka anasema ugali kula najaribu ila kupika sijui kabisa
View attachment 632107
Mrembo huyo alisema mwanaume atakae muoa lazima ajiandae kulipa mahali zaidi ya millioni 10
Kabla ya yote ugali HAUPIKWI Bali UNASONGWA. Hivyo hajui kusonga ugali.
Na kutojua kupika ugali sio SI unit ya Uanamke so Komaaa na maisha saka pesa mtoto wa kike
 
kweli tunatofautiana,binafsi demu ka Hilo halinivutii
 
Back
Top Bottom