Mrembo Sanchoka asema hajui kupika ugali

Mrembo Sanchoka asema hajui kupika ugali

Aisee mbona kataja kidogo nipo tyr kuuza nyumba ya urithi sio kwa buno ilo
 
Ipo siku ataitamani hata mil 2 ya mahali.
Kujipiga kiki tu.
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mahari
ml.10 kwa Kipi hasa alichonacho hiyo shape yakuchonga mana sura yenyewe inasikitisha[emoji30] afu zaidi hajui kupika Hahah Mwanaume atayemuoa atakuwa hajielewi nae[emoji57][emoji57]
Hivi kuna mwanamke anayejiona si Mzuri? Kuhusu kupika ugali inategemea na staple food yake! All in all yupo katika biashara (msingi kiuno) ni lazima afikiri kama Dr Shika
 
Hivi kuna mwanamke anayejiona si Mzuri? Kuhusu kupika ugali inategemea na staple food yake! All in all yupo katika biashara (msingi kiuno) ni lazima afikiri kama Dr Shika
[emoji3]Hakuna kwakweli..ni kweli usemayo mkuu Ila biashara hizi nazo mhh
 
Mm nitatoa mahali laki 3 tuuu itapendeza aje nimfundishe kupika ugali wa dona na mlenda mkavu,
 
[emoji3]Hakuna kwakweli..ni kweli usemayo mkuu Ila biashara hizi nazo mhh
Mkuu kupanga ni kuchagua. Na mtoto umleavyo..... Bahati mbaya ya hii profession haiwezi kudumu! Na mapato yake huwezi kuyatumia kuinvest hivyo mwisho wake huwa ni mbaya. Uzuri ni kama ua tu na Ukimwi Nje Nje
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Back
Top Bottom