MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
hao mkuu ndo mwisho wa siku wamefka miaka 40hawajaolewa....wanajkuta wamezalishwa na waganga wa kienyejiKwa hiyo ndiyo ana maanisha ametoka familia zaidi ya bora au siyo wa Nchi hii?,katoka ughaibuni!,Mwanamke kama huyu sijui kama atapata Bwana maishani mwake na kama akipata itakuwa ya muda,maana kwa mikogo hiyo ndoa ndoto
pale makalio yanapochukua nafasi ya kichwa kufikiri...uyu demu na ebitoke...nachagua ebitokeMrembo mwenye shepu ya kuvunja chaga wa bongo Sanchoka amesema katika malezi yake hajawahi wala hajui namna ya kupika ugali.
Sanchoka anasema ugali kula najaribu ila kupika sijui kabisa
View attachment 632107
Mrembo huyo alisema mwanaume atakae muoa lazima ajiandae kulipa mahali zaidi ya millioni 10
Halafu utakuta nundu lina harufu ya shombo la maviPunguza jazba mkuu, kulikuwa hamna ulazima wa kuwaweka wazazi wake.
Yeye kajiangalia kwenye kioo, akaona thaman ya hilo nundu linafikia mil 10... ana haki ya kujipa value anayotaka hata kama haiakisi ukweli.
Kweli kabisaKiukweli hao huwa sio wa kuona ukisikia mtu anasema mwanamke ni chombo cha Starehe basi huwa anamaanisha wanawake wa hivyo.
Tena 900 itapendeza zaidi.
Hata kama ipo still bado bikra siku hizi zinatolewa bure tena kisela tu. Apambane na hali yake mil.10 kwa usawa upi.?Ana bikra?
Kama ipo nadhani kwenye hiyo millioni 10 nikiongezea hapo 900 itapendeza zaidi
Wajinga sana hawa viumbe, kalio lenyewe la kichina.Hata kama ipo still bado bikra siku hizi zinatolewa bure tena kisela tu. Apambane na hali yake mil.10 kwa usawa upi.?
Very nice hako ka avatar kako jomonNa kutojua kupika ugali sio SI unit ya Uanamke so Komaaa na maisha saka pesa mtoto wa kike
Kuna mmoja alinambia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mahari milion woooot!!!? [emoji38][emoji38][emoji38]