Haha labda mwenzetu biashara yake inamlipa Sana huoni pesa aloitaja tu kwa ajili yamahari Ila Hakuna marefu yasiyo na ncha lakinMkuu kupanga ni kuchagua. Na mtoto umleavyo..... Bahati mbaya ya hii profession haiwezi kudumu! Na mapato yake huwezi kuyatumia kuinvest hivyo mwisho wake huwa ni mbaya. Uzuri ni kama ua tu na Ukimwi Nje Nje
Milioni kumi kupika ugali hajui.Punguza jazba mkuu, kulikuwa hamna ulazima wa kuwaweka wazazi wake.
Yeye kajiangalia kwenye kioo, akaona thaman ya hilo nundu linafikia mil 10... ana haki ya kujipa value anayotaka hata kama haiakisi ukweli.
Mkuu labda ina tv ndani...au na A.C. ya kuipoza kabisaa...hilo dau hata Dr shika asingeweza kulitoa....namshauri mrembo akawaone yono ili afanyiwe mnadaAnajua kupika nini kama ugali hawezi?
Mahari ya milioni 10 ni ya nini?
Kwani anauza nini cha gharama hivyo?
SI unit ya uanamke nini?Na kutojua kupika ugali sio SI unit ya Uanamke so Komaaa na maisha saka pesa mtoto wa kike
Yawezekana 10 million ni za kwa babu mugabe kwa hiyo tusipanicHuyu sindo walisema anataka kuolewa kwa 10 millions?
Au huko kwenye ndoa alijua ni kuimba kwaya[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yawezekana 10 million ni za kwa babu mugabe kwa hiyo tusipanic
Ujana shidaHaha labda mwenzetu biashara yake inamlipa Sana huoni pesa aloitaja tu kwa ajili yamahari Ila Hakuna marefu yasiyo na ncha lakin
Anauza perfume na asali ya nzi.Anajua kupika nini kama ugali hawezi?
Mahari ya milioni 10 ni ya nini?
Kwani anauza nini cha gharama hivyo?
Kabla ya yote ugali HAUPIKWI Bali UNASONGWA. Hivyo hajui kusonga ugali.Mrembo mwenye shepu ya kuvunja chaga wa bongo Sanchoka amesema katika malezi yake hajawahi wala hajui namna ya kupika ugali.
Sanchoka anasema ugali kula najaribu ila kupika sijui kabisa
View attachment 632107
Mrembo huyo alisema mwanaume atakae muoa lazima ajiandae kulipa mahali zaidi ya millioni 10
Na kutojua kupika ugali sio SI unit ya Uanamke so Komaaa na maisha saka pesa mtoto wa kike
Kabla ya yote ugali HAUPIKWI Bali UNASONGWA. Hivyo hajui kusonga ugali.