Mrembo Sanchoka asema hajui kupika ugali

Yaaan huyu manzi bas tu ningeshtuka mapema kama angekuja kutrend hivi......
 
Kama hajui kupika ugali atakuwa anajua kupika ub@o@
 
Huyu dada ananichefua kula kukicha!!!
 
nataka nimpe madongo uyu sanchoka...ila kila nikiona msambwanda....natengua kauli
 
Huyo ndiye mrembo anaehitaji mahari ya milioni kumi ili aolewe!!
 
Atakae kwenda kuoa huyo kahaba naye hana akili,au atakuwa kahaba mwenzie
 
Nini cha kumtolea 10 mil sielewi kabisa au anakunya gold
 
Ina tv na WiFi ndani yake??!
 
Sasa akitokea msukuma anamahali ml10 na anamuoa itakuaje sasanmaana wasukuma bila ugali hujafanya kitutenaile kitu ambao inakua kama half cake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…