Mrembo Ulweso live interview on DJ sepetu show!

Naomba kuuliza swali ulweso hili jina lina maana gani?? Uliwaza nini mpaka ukaamua kulitumia humu?? Make nami nilipata kizungumkuti just by name I thought wewe una mashine tehteh


Cc Smart911
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni chombo kimoja hivi cha kiasili na niliamua kutumia jina lakabila langu mtu wa kabila langu akisoma hivi anatabasamu
 
Udhaifu mkubwa Wa mwanaume ni tendo la ngono!
Unadhani unaweza kuolewa mitala
Kwanini
Hapana siwezi hata yeye anajua kabisa kama anaoa basi mimi aniache kwanza aoe 2 mie siwezi maana hata mie niligoma kuolewa mitala huwezi tumikia mabwana 2 na ukawapenda wote
 
Hapana siwezi hata yeye anajua kabisa kama anaoa basi mimi aniache kwanza aoe 2 mie siwezi maana hata mie niligoma kuolewa mitala huwezi tumikia mabwana 2 na ukawapenda wote
Mumeo aliwahi kukuambia nn kilimvutia kwako na si wanawake wengine!
Ni kipi je bado kipo!
 
Kwa nini unaamini anaweza kucheat?!
Sio kuamini, lakini dunia ina mambo mengi na sio wote wanapenda mlivyo na wao pia wanaweza kuwa wanampenda, anaweza safiri au akawa na watu wengine akashindwa kuji control, linaweza tokea kibinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…