Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Anadai alipakia demu mbovu wa jf, anadai demu alikenua sana ndani ya bmw🤣🤣🤣Shemeji yangu yule ananipa raha na maneno yake 😂😂😂😂
Tajiri wa BMW jf nzima TUKANA UONE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadai alipakia demu mbovu wa jf, anadai demu alikenua sana ndani ya bmw🤣🤣🤣Shemeji yangu yule ananipa raha na maneno yake 😂😂😂😂
Tajiri wa BMW jf nzima TUKANA UONE
Ameshaitwa utamuona soon🤣🤣🤣Asije akatimba hapa akaleta balaa lake...
Ko umesarenda? 🤣🤣🤣🤣Huwa sirudi nyuma atabaki kuwa mshikaji tu kanivunja moyo sana, akirudi atateseka bure
Wananipenda nifanyeje?Ko umesarenda? 🤣🤣🤣🤣
Sema na wewe umezidi kaka angu kila manzi wako 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Wanaume mkipewa zawadi muotee aliyekupa mtajua?Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!
Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani 🙌
Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi kuliko hawa wasambasa UTI sugu, Kaswende na HIV
View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.
Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.
Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.
Chanzo: Global TV Online.
🤐🤐🤐🤐🤐🤣🤣🤣🤣🤐
😂😂😂😂 Basi naacha ila dada unagombaniwa na maboss humu?!!Mpango wako unataka kunivuruga Medulla Oblongata Sasa🤦🤦🤦🤦
Maokoto muhimu bro 😂😂😂Niligoma kutoa pesa mpare akanizidi
Prank za kiredio hamna loloteHivi hiyo video ni tukio la ukweli au ni prank?
😂😂😂😂 Yule jamaa kibokoAnadai alipakia demu mbovu wa jf, anadai demu alikenua sana ndani ya bmw🤣🤣🤣
Unatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.Maokoto muhimu bro 😂😂😂