Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Huyo ana tofauti na wale wadada wanaopost status ya bwana yake halafu anaifunika na emoji sura.

Kiuhalisia huwa sielewi wanafanya hivyo kwanjni ila nadhani wa jinsi hii hawana tofauti na huyo binti.

Hata ongea ya huyo binti inaonekana ni ya mashaka sasa usikute kuna bwana kagharamia sherehe mwingine kapigwa block siku ya sherehe, hadi iishe ndio atafutwe.

Just wondering kizazi cha vijana kinaenda wapi.
 
Huwa sirudi nyuma atabaki kuwa mshikaji tu kanivunja moyo sana, akirudi atateseka bure
Ko umesarenda? 🤣🤣🤣🤣
Sema na wewe umezidi kaka angu kila manzi wako 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Ko umesarenda? 🤣🤣🤣🤣
Sema na wewe umezidi kaka angu kila manzi wako 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Wananipenda nifanyeje?
Nimezaliwa kuwapa amani asee, mimi ni mtume na nabii wao ujue😂😂
 

View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj

Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.

Alimrahisishia swali akasema okay usimtaje tu mpenzi wako bali mtaje yule mwenye hela hela, bado akakosea. Kudadeki kawapanga vibompa kama wote 😂
 
Maokoto muhimu bro 😂😂😂
Unatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.
NAkupa kiroho safi.
Sex sinunuagi wala si uzi.

Nikianza kununua sex sitataka mpenzi wa kudumu kwani wauzaji ni warembo kupitiliza.

So uelewa sinunui wala siuzi.
Kupeana pesa ni muhimu lkn silipii chuu...big no
 
Back
Top Bottom