Anadai alipakia demu mbovu wa jf, anadai demu alikenua sana ndani ya bmwπ€£π€£π€£Shemeji yangu yule ananipa raha na maneno yake ππππ
Tajiri wa BMW jf nzima TUKANA UONE
Ameshaitwa utamuona soonπ€£π€£π€£Asije akatimba hapa akaleta balaa lake...
Ko umesarenda? π€£π€£π€£π€£Huwa sirudi nyuma atabaki kuwa mshikaji tu kanivunja moyo sana, akirudi atateseka bure
Wananipenda nifanyeje?Ko umesarenda? π€£π€£π€£π€£
Sema na wewe umezidi kaka angu kila manzi wako πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Wanaume mkipewa zawadi muotee aliyekupa mtajua?Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!
Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani π
Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi kuliko hawa wasambasa UTI sugu, Kaswende na HIV
Alimrahisishia swali akasema okay usimtaje tu mpenzi wako bali mtaje yule mwenye hela hela, bado akakosea. Kudadeki kawapanga vibompa kama wote π
View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.
Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.
Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.
Chanzo: Global TV Online.
π€π€π€π€π€π€£π€£π€£π€£π€
ππππ Basi naacha ila dada unagombaniwa na maboss humu?!!Mpango wako unataka kunivuruga Medulla Oblongata Sasaπ€¦π€¦π€¦π€¦
Maokoto muhimu bro πππNiligoma kutoa pesa mpare akanizidi
Unampa makavu live au sio?Leo naona ni mwendo wa kunguni tu Glenn π€£π€£π€£π€£π€£π€£.....We katoto muache X wanguKo umesarenda? π€£π€£π€£π€£
Sema na wewe umezidi kaka angu kila manzi wako πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Prank za kiredio hamna loloteHivi hiyo video ni tukio la ukweli au ni prank?
ππππ Yule jamaa kibokoAnadai alipakia demu mbovu wa jf, anadai demu alikenua sana ndani ya bmwπ€£π€£π€£
Unatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.Maokoto muhimu bro πππ