Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Shemeji yangu yule ananipa raha na maneno yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tajiri wa BMW jf nzima TUKANA UONE
We mwanamke acha Vimbwanga,yaani niwe tajiri na mtu ninaye miliki BMW JF nzima?,Usinifanyie hivyo tafadhali!

Kweli,Mungu kanibariki na mimi namiliki tugari ikiwemo Mashine BMW ila mimi sina utajiri wowote,mimi ni mtu wa kawaida kabisa!.


By the way

Rafiki yako Joannah aliniambia anaye mpenzi wake na wanapendana sana,hivyo si mwanamke wangu,huwa naheshimu mahusiano ya watu kama ambavyo nitapenda naya kwangu yaheshimiwe!.

Hatufahamiani but nilimpa offer Joannah achague sehemu yeyote atakayo ndani ya nchi na nje ya nchi ningemepeleka,kabla ya hapo nilipanga nimepeleke Ngorongoro akaenjoy,pia ningemnunulia usafiri wa kuzungukia mjini ili kulikwepa Jua,nilipanga nimnunulie Ka-IST angalau na yeye alikwepe Jua la Dar lakini haikuwa bahati yangu nikakuta amewahiwa!.

Hivyo ukiendelea kuniita shemeji utakuwa unanikosea kwasababu Joannah ni mke wa mtu!.
 
Daah leo una adabu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
DJ akusindikize Kwa wimbo wa "SHUKURANI ZANGU"....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…