TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
We mwanamke acha Vimbwanga,yaani niwe tajiri na mtu ninaye miliki BMW JF nzima?,Usinifanyie hivyo tafadhali!Shemeji yangu yule ananipa raha na maneno yake 😂😂😂😂
Tajiri wa BMW jf nzima TUKANA UONE
Kweli,Mungu kanibariki na mimi namiliki tugari ikiwemo Mashine BMW ila mimi sina utajiri wowote,mimi ni mtu wa kawaida kabisa!.
By the way
Rafiki yako Joannah aliniambia anaye mpenzi wake na wanapendana sana,hivyo si mwanamke wangu,huwa naheshimu mahusiano ya watu kama ambavyo nitapenda naya kwangu yaheshimiwe!.
Hatufahamiani but nilimpa offer Joannah achague sehemu yeyote atakayo ndani ya nchi na nje ya nchi ningemepeleka,kabla ya hapo nilipanga nimepeleke Ngorongoro akaenjoy,pia ningemnunulia usafiri wa kuzungukia mjini ili kulikwepa Jua,nilipanga nimnunulie Ka-IST angalau na yeye alikwepe Jua la Dar lakini haikuwa bahati yangu nikakuta amewahiwa!.
Hivyo ukiendelea kuniita shemeji utakuwa unanikosea kwasababu Joannah ni mke wa mtu!.