Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

🤣🤣🤣🤣🤣Babu bwana unazingua
Mi nasema ukweli Mjukuu, maana baada ya kustaafu si nilijifanya niongeze Mke kwa hela za Pension.

Yule Mwanamke baada ya wiki moja tu niliamua kumwacha na kubaki na Bibi yenu tu.

We mtu gani kila saa anataka tu, nikaona huyu ana mpango wa kuniua maana si kwa Kiu aliyokuwa nayo 🙌
 
Iyo prank ila tunahitaji challenge kama iyo kwa wapenzi wetu, kiredio kaamua kufanya ivo atapata watu wa kuwatest wapenz wao akapata chochote kitu
 
Ng'ombe hazeeki maini Babu bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…