Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

🤣🤣🤣🤣🤣Babu bwana unazingua
Mi nasema ukweli Mjukuu, maana baada ya kustaafu si nilijifanya niongeze Mke kwa hela za Pension.

Yule Mwanamke baada ya wiki moja tu niliamua kumwacha na kubaki na Bibi yenu tu.

We mtu gani kila saa anataka tu, nikaona huyu ana mpango wa kuniua maana si kwa Kiu aliyokuwa nayo 🙌
 
Ogopa sana watu wanaanza kwa uadui wakipatana mahaba mazito sana huzaliwa.

Mfano mzuri ni bwana ako😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 umewaza nini hadi kusema hivyo?
Unajua nacheka Kantry anavyonipenda sana niliyekua adui yake!!!
 
Iyo prank ila tunahitaji challenge kama iyo kwa wapenzi wetu, kiredio kaamua kufanya ivo atapata watu wa kuwatest wapenz wao akapata chochote kitu
 
Mi nasema ukweli Mjukuu, maana baada ya kustaafu si nilijifanya niongeze Mke kwa hela za Pension.

Yule Mwanamke baada ya wiki moja tu niliamua kumwacha na kubaki na Bibi yenu tu.

We mtu gani kila saa anataka tu, nikaona huyu ana mpango wa kuniua maana si kwa Kiu aliyokuwa nayo 🙌
Ng'ombe hazeeki maini Babu bwana!
 
Back
Top Bottom