Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah
anafurahia sanaJamaa anasema tunamgandamizia😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anafurahia sanaJamaa anasema tunamgandamizia😀😀😀
😂😂😂 Leo boss hataki kelele na watu, umechezea bahati utamkumbuka shauri yako🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja ninyamaze kwanza maana mdomo wake yule anaujua mwenyewe
Unajizima data wewe sio bure🤔🤔🤔ngoja niongee na MshanajrMaisha lazima yasonge, sasa uliniacha utafikori ntabaki mnyonge?
Niko nasaka chuma humu😂😂😂😂
Nikokosa naenda ujombani
Nimezungukwa na wasangi, wapare wa milimani na....kila nikinyanyua mguu wao wanakanyagaJamaa anasema tunamgandamizia😀😀😀
Ogopa sana watu wanaanza kwa uadui wakipatana mahaba mazito sana huzaliwa.😂😂😂 Leo boss hataki kelele na watu, umechezea bahati utamkumbuka shauri yako
It's true namjua huyu demu na ni kweliImekaa ki Maigizo zaidi....
Mambo ya Content creation
Shemeji yako keshanipa raumu so hakijaharibika kitu.😂😂😂 Leo boss hataki kelele na watu, umechezea bahati utamkumbuka shauri yako
Kulala njaa ni uhaini🤣Ewaaaaaah,,,pesa muhimu sana kwenye kunogesha penzi....mlaze na njaa huyo wife material uone moto wake🤦
Mi nasema ukweli Mjukuu, maana baada ya kustaafu si nilijifanya niongeze Mke kwa hela za Pension.🤣🤣🤣🤣🤣Babu bwana unazingua
Daah ndio maana ulinijibu dry kumbe mpare kakulainisha na mtumba wa Raum eeeShemeji yako keshanipa raumu so hakijaharibika kitu.
Bora umewajua bana usije jichanganyaaaa. Kunammoja hapo tupo nae mahalaaa flan hivii,anatoa msaada sanaSahii nishajua kuna Joannah money monger na Joanah Wife material
🤣🤣🤣🤣 umewaza nini hadi kusema hivyo?Ogopa sana watu wanaanza kwa uadui wakipatana mahaba mazito sana huzaliwa.
Mfano mzuri ni bwana ako😂😂😂
Mpare anahongaga?hivi unawajua vizuri?Daah ndio maana ulinijibu dry kumbe mpare kakulainisha na mtumba wa Raum eee
Hii I'd huwa natumia na Last born wangu, kuna uwezekano atakuwa alishinda huko.Ndo mitaa yake ya kujidai 😂😂😂
Sasa wamekuvutia nini? Penzi chuku chuku tu?Mpare anahongaga?hivi unawajua vizuri?
We mwenyewe unajua ninavyopenda pesa mbele kama tai,,,,huyo mpare nitamwezea wapi Mimi?hii tuhuma ipuuzweSasa wamekuvutia nini? Penzi chuku chuku tu?
Ng'ombe hazeeki maini Babu bwana!Mi nasema ukweli Mjukuu, maana baada ya kustaafu si nilijifanya niongeze Mke kwa hela za Pension.
Yule Mwanamke baada ya wiki moja tu niliamua kumwacha na kubaki na Bibi yenu tu.
We mtu gani kila saa anataka tu, nikaona huyu ana mpango wa kuniua maana si kwa Kiu aliyokuwa nayo 🙌