Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Ujana ni kazi.

Kuna mdogo wa rafiki yangu kafilisiwa na mwanamke nsomi wa Kiunguja ndani ya miaka 5.

Toka ubilionea kwa viwango vyaTanzania, mpaka ubaoni hajui la kufanya.

Mwanamke anasema wazi, nilipokupenda ulikuwa na pesa, sasa katafute zingine utanikuta nipo tu.

Nawashauri vijana wacheni wazee wenu wawatafutie wake wa kuowana nao, tena muoane wakati wa dhiki, siyo wakati wa faraja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wanasema kuteseka sio sifa, wote wanataka wanaume matajiri humu wakiongozwa na ma sniper waandamizi Joanah bila kumsahau Lamomy
,
 
Ujana ni kazi.

Kuna mdogo wa rafiki yangu kafilisiwa na mwanamke nsomi wa Kiunguja ndani ya miaka 5.

Toka ubilionea kwa viwango vyaTanzania, mpaka ubaoni hajui la kufanya.

Mwanamke anasema wazi, nilipokupenda ulikuwa na pesa, sasa katafute zingine utanikuta nipo tu.

Nawashauri vijana wacheni wazee wenu wawatafutie wake wa kuowana nao, tena muoane wakati wa dhiki, siyo wakati wa faraja.
Umemalizia vizuri, usimuonyeshe unayemuoa kuwa unajiweza...mbele ya pesa wanawake wote ni wema sana
 
View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj

Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.

Tunapangwa vilivyo na hawa warembo sema mbususu zao tamu
 
Back
Top Bottom