Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akuuu me nasemea tyuuu!!!
Ila dada una moyo, kaka anaparamia mademu humu balaaπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Ukipenda hutakiwi kuhesabu visa mdogo wangu,hutoliweza penzi....huigi mfano Kwa Zuchu?
 
🀣🀣🀣🀣🀣Kumbe una wivu jamanii,,, nilikuwa sijaelewa mpare gani unamsema kumbe Robby?huyo ni Upendo wa agape bwana Lamomy ongea na shem wako basi mwambie ana moyo wangu
Huyo wivu unamsumbua!!
Sisi wazaramo ni watu wa utani hatumaanishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bro Glenn dada anakupenda sema wazaramo tushazoea utani na masihara

Haya mambo ndio tunagombanaga na Kantry kutaniana na watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tutulie tutaachika kweli dada
 
Unafiki wako utashindwa tu, nilikutetea ukitokea kwa mzungu kichaa leo unanisaliti???πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 Nimecheka mpk machozi
Basi kaaka naacha sikuchongelei tena
 
Ameniumiza sana kwa kutokutaja jina langu, nilijitahidi sana kumpatia hela za vitini mpaka amehitimu, ama kweli bora hizo hela ningelimia ata maharage
 
Back
Top Bottom