Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Kakushika pabaya bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe wa kutia huruma leo??
wewe unanichambaga niache kubebisha watu kwenye comment nitaachika, sasa leo yamekukuta yapi jomooni!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bro na wewe si yaishe basi Glenn
NAJUTA,Glenn
 

Attachments

  • Screenshot_20231005-191337_1.jpg
    Screenshot_20231005-191337_1.jpg
    31.2 KB · Views: 1
Hata mtoa gari nae akiambiwa swali Hilo Hilo amtaje mpenzi wake atakosea tu kama yeye tu Hana Mwanamke mmoja Cha ajabu Nini kwa mwenzake asiyemuoa
 
sinza una danga, kino una danga, tabata una danga, mbezi una danga, haya endelea kudanga na muhuni wa kino lakini kino hutoki na gari utaishia kua single mama.
 
Back
Top Bottom