Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.

Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.

Nikafupisha story na mimi nikampa namba yangu nikamwambia kama unamaanisha support ya laki inatosha wewe uwe mpenzi wangu, anytime ukiwa tayari nipe jibu na bond ianze mapema sana.

Leo kanipa jibu, amesisitiza nisije kukiuka makubaliano, nimempa uhakika kwamba imani yake na tabia zake ndio motisha kwangu.

Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho.

Hii ni dalili ya nini hasa ni uchumi mgumu? mapenziyamekufa,? mbususu haina thamani? mapenzi biashara? Nimedata sielewi.

Msagara anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby

Inshallah mwaka unaanza na mahaba motomoto hii ya Kimeru ni " Pisi Vibes"

Tuambizane wenye matukio ya mapenzi ya kuwa na bill za mwezi karibuni

Wadiz a.k.a ndio mimi
 
Itakuaje km huyo manz atakuepo humu?? Tumia code mkuu
 
Ama ni slei kwini (changu aliyechangamka) au ni mke wa mtu huyo mchunguze vizuri. Kama hivyo ndivyo; naomba ufumaniwe laivu kama huyu mwenzio. Mwaka mpya hata wino ulioandikia malengo yako ya mwaka huu haujakauka vizuri tayari unazini. Kha! [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20230101-143134_Instagram.jpg
 
Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.

Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.

Nikafupisha story na mimi nikampa namba yangu nikamwambia kama unamaanisha support ya laki inatosha wewe uwe mpenzi wangu, anytime ukiwa tayari nipe jibu na bond ianze mapema sana.

Leo kanipa jibu, amesisitiza nisije kukiuka makubaliano, nimempa uhakika kwamba imani yake na tabia zake ndio motisha kwangu.

Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho.

Hii ni dalili ya nini hasa ni uchumi mgumu? mapenziyamekufa,? mbususu haina thamani? mapenzi biashara? Nimedata sielewi.

Msagara anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby

Inshallah mwaka unaanza na mahaba motomoto hii ya Kimeru ni " Pisi Vibes"

Tuambizane wenye matukio ya mapenzi ya kuwa na bill za mwezi karibuni

Wadiz a.k.a ndio mimi
Wewe ni Msagara?

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Nasisitiza tu haupo peke yako.
 
Back
Top Bottom