chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Mtoto wa kimeru, mwanafunzi ana miaka 28! Matunzo ya box 1 tu kwa mwezi! Hongera sana mwaka umeuanza vizuri arif..sasa usimchezee umuoe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo laki kwa mwezi n nyingi au una maanisha nn mkuu?Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.
Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.
Nikafupisha story na mimi nikampa namba yangu nikamwambia kama unamaanisha support ya laki inatosha wewe uwe mpenzi wangu, anytime ukiwa tayari nipe jibu na bond ianze mapema sana.
Leo kanipa jibu, amesisitiza nisije kukiuka makubaliano, nimempa uhakika kwamba imani yake na tabia zake ndio motisha kwangu.
Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho.
Hii ni dalili ya nini hasa ni uchumi mgumu? mapenziyamekufa,? mbususu haina thamani? mapenzi biashara? Nimedata sielewi.
Msagara anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby
Inshallah mwaka unaanza na mahaba motomoto hii ya Kimeru ni " Pisi Vibes"
Tuambizane wenye matukio ya mapenzi ya kuwa na bill za mwezi karibuni
Wadiz a.k.a ndio mimi
anafaa sana kuoa ila mimba kwanza, ntafatilie nijue outings zake zina contents gani ntampeleka maeneo kibao nijue mengi kumhusuMtoto wa kimeru, mwanafunzi ana miaka 28! Matunzo ya box 1 tu kwa mwezi! Hongera sana mwaka umeuanza vizuri arif..sasa usimchezee umuoe.
Mama anakula 250 kila mweziYani umpe mtoto wa chuo laki kila mwezi nakati iyo hela inatosha kumtumia mama yako kabisa na akakubariki zaidi na zaidi
tuwaombee mods wasaidieKuna mtu ana chaja ya infinix humu ndani aniazime
Sio kweli Mkuu dada yake nshaijua ofisi yakeHahahaah Mkuu huyo ni mke wa Mtu 😂 😂 😂 ametumia lugha ya kuficha kuwa alikuwa kwa dada ake alikuwa na mumewe kaka shtuka....
Vilainishi vitakuhusu
Bambalaga[emoji38]Nilipata mshituko sana ananionaga Royal na Bambalaga nilistuka sana
Naona ndogo sana nilidhani atataka on average 150-200, ninavyo muuona anataka ndoa ila katumia hio kama ya bonding ili apate platform ya maongezi zaidiHyo laki kwa mwezi n nyingi au una maanisha nn mkuu?
Niliona ndogo sanaLaki 1 bei nzur sana
kwahyo kaka binti unamfahamu vizur au...Sio kweli Mkuu dada yake nshaijua ofisi yake
?????....... nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.
Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.
???Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho
Au mimi ndo sijaelewa mkuu.........anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby
Anika tu juani hizo zinajaaga zenyewe 🥱Kuna mtu ana chaja ya infinix humu ndani aniazime
Take it simple hizi shoo za kawaida sanakwahyo kaka binti unamfahamu vizur au...
?????
???
Au mimi ndo sijaelewa mkuu
Ok nimekuelewa mkuuTake it simple hizi shoo za kawaida sana
jibu umeliweka mwisho kabisamapenzi biashara
Shilingionea mna tabu nyie, mnajifanya mnazijua sana laana.Yani umpe mtoto wa chuo laki kila mwezi nakati iyo hela inatosha kumtumia mama yako kabisa na akakubariki zaidi na zaidi