Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.

Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.

Nikafupisha story na mimi nikampa namba yangu nikamwambia kama unamaanisha support ya laki inatosha wewe uwe mpenzi wangu, anytime ukiwa tayari nipe jibu na bond ianze mapema sana.

Leo kanipa jibu, amesisitiza nisije kukiuka makubaliano, nimempa uhakika kwamba imani yake na tabia zake ndio motisha kwangu.

Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho.

Hii ni dalili ya nini hasa ni uchumi mgumu? mapenziyamekufa,? mbususu haina thamani? mapenzi biashara? Nimedata sielewi.

Msagara anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby

Inshallah mwaka unaanza na mahaba motomoto hii ya Kimeru ni " Pisi Vibes"

Tuambizane wenye matukio ya mapenzi ya kuwa na bill za mwezi karibuni

Wadiz a.k.a ndio mimi
Okey acha nikuulize simple questions tu

1. Una malengo gani na huyo demu?
2. Unapenda kwa dhati

Jibu hayo kwanza before sijakupa ushauri..
 
Mpo kumi mkitoa laki laki KILA Mwezi mtoto anakunja milioni KWA Mwezi. Saafi kabisa.
 
Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.

Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.

Nikafupisha story na mimi nikampa namba yangu nikamwambia kama unamaanisha support ya laki inatosha wewe uwe mpenzi wangu, anytime ukiwa tayari nipe jibu na bond ianze mapema sana.

Leo kanipa jibu, amesisitiza nisije kukiuka makubaliano, nimempa uhakika kwamba imani yake na tabia zake ndio motisha kwangu.

Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho.

Hii ni dalili ya nini hasa ni uchumi mgumu? mapenziyamekufa,? mbususu haina thamani? mapenzi biashara? Nimedata sielewi.

Msagara anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby

Inshallah mwaka unaanza na mahaba motomoto hii ya Kimeru ni " Pisi Vibes"

Tuambizane wenye matukio ya mapenzi ya kuwa na bill za mwezi karibuni

Wadiz a.k.a ndio mimi
Mmeru!!
***** utakuja kuchomwa kisu wewe.!!
R. I. P in advance
 
Huyo bibi wa miaka 28 chuo anasomea ujinga au nini?
 
anafaa sana kuoa ila mimba kwanza, ntafatilie nijue outings zake zina contents gani ntampeleka maeneo kibao nijue mengi kumhusu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana bwana, tunausanii mwingi. Yaani mahusiano tuyaanze in terms of business transactions halafu utegemee kwenye ndoa aje abadilike. Yaani sijui tunavichwa gani, halafu baadae tunakuja humu na tiktok kulalamika kuwa wake zetu sijui wanashida gani sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. You made a deal with the devil then you must sell your soul, ndoa itakuwa majanga tu na taasisi ambayo itafeli kabisa huko baadae. Tunachanganya ndoa na starehe actually na umalaya. Kizazi cha ajabu kweli.
 
Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.

Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.

Nikafupisha story na mimi nikampa namba yangu nikamwambia kama unamaanisha support ya laki inatosha wewe uwe mpenzi wangu, anytime ukiwa tayari nipe jibu na bond ianze mapema sana.

Leo kanipa jibu, amesisitiza nisije kukiuka makubaliano, nimempa uhakika kwamba imani yake na tabia zake ndio motisha kwangu.

Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho.

Hii ni dalili ya nini hasa ni uchumi mgumu? mapenziyamekufa,? mbususu haina thamani? mapenzi biashara? Nimedata sielewi.

Msagara anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby

Inshallah mwaka unaanza na mahaba motomoto hii ya Kimeru ni " Pisi Vibes"

Tuambizane wenye matukio ya mapenzi ya kuwa na bill za mwezi karibuni

Wadiz a.k.a ndio mimi
Mwaka juzi December nikiwa natoka Dom naenda Dar kuna mdada nilimpa lift na kwenye gari tulikuwa wawili tu. Na niliamua tu kumpakia pale Dom vile alikuwa mrembo na usafiri wa shida kidogo mwezi December kama mjuavyo. Na kiukweli napenda kusafiri alone sana. Yule dada baada ya kumpakia akataka kutoa nauli nikamwambia nimekuchukua ili unipe support tu kwenye safari na alifurahi sana. Tukafika Moro tukashuka kwenda kula kwa gharama zangu mwenyewe. Safari yote ile tulizoeana kama wapenzi maana tulikuwa tunasimama sometimes kuchimba dawa bila aibu yoyote kutoka kwakwe pale anapohitaji kufanya hivyo hadi tunafika Dar.
Baada ya kama wiki 2 huku tukiwasiliana nilimuomba game nae akakubali na maisha yakaendelea. Tulikutana mara 4 kwa mchezo huo siku tunakutana mara 5 baada ya kumaliza mchezo akawa anahitaji kwa mwezi niwe nampatia 200k. Nikapiga hesabu kwamba kwa mwezi tukikutana tu mara 3 maana yake si chini ya 150k itaisha kwa lodge, nauli na plus 200k yake nitakuwa namaliza around 400k kwa mwezi. Nilimwambia nitakuwa nakupa 100k akakataa akasema hawezi basi baada ya hapo mawasiliano yalishuka na tukawa tumepotezeana.
Kwa huyo wako ndugu yangu hiyo 100k anayotaka kwa mwezi hapo kuna mambo mengine yataibuka utajikuta kwa mwezi si chini ya 300k itaisha
 
Kuna mrembo mmoja umbo namba 8 wa IFM , alinieleza kwenye simu nina namba zaidi ya 150 za. Wanaume anachofanya kila wiki anatafuta kisa atumiwe 3000 au 4000 anachofanya anaandika text mfano dear naomba elfu tatu nichangie umeme au maji, basi text ile ataituma kwa namba zote 150 kwa haraka watu 100 watamtumia elfu nne wengine 5 , wengine watajikoki elfu 10 na hapo mwanaume utajisifu huyu mrembo hana matumizi ya pesa kabisa kumbe uko kwenye target hivo kila wiki yule mrembo ana uhakika wa kupata laki tatu hadi nne, kwahiyo warembo wako wenye akili kabisa na anaduka la nguo tabata anasogeza maisha vizuri
Huyo hana tofauti na tapeli...kwa kifupi ni tapeli
 
Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui ntakumudu mahitaji yako, akauliza utaweza sana tu, nshakuona matumizi yako Royal Village na Bambalaga.

Nikastuka nikauliza kwani ushawahi kuniona? akasema ndio hua nakuja na dada yangu nakuona sana tu. Nikamwambia mi matumizi yangu mbona kawaida sana, akasema kama unamaliza elfu50 hadi Laki kwa mtoko mmoja huwezi kushindwa kunisupport Laki kwa mwezi, walau mlo mmoja kwa siku.

Nikafupisha story na mimi nikampa namba yangu nikamwambia kama unamaanisha support ya laki inatosha wewe uwe mpenzi wangu, anytime ukiwa tayari nipe jibu na bond ianze mapema sana.

Leo kanipa jibu, amesisitiza nisije kukiuka makubaliano, nimempa uhakika kwamba imani yake na tabia zake ndio motisha kwangu.

Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho.

Hii ni dalili ya nini hasa ni uchumi mgumu? mapenziyamekufa,? mbususu haina thamani? mapenzi biashara? Nimedata sielewi.

Msagara anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby

Inshallah mwaka unaanza na mahaba motomoto hii ya Kimeru ni " Pisi Vibes"

Tuambizane wenye matukio ya mapenzi ya kuwa na bill za mwezi karibuni

Wadiz a.k.a ndio mimi
Vitu vya bure viaua
 
Malaya huwa hawana bei maalum. Unaona umepata wakati unaliwa bila kujua
 
Vizuri sana. Sasa kuweka uwiano uwe mzuri, tafuta mke mwema uoe hio 150 uwe unampa , na sio vimalaya malaya, mana nakuapia hata siku moja, huyo malaya hatokuja kukuambia flan nimeona hii 150 tuwekeze kwenye jambo fulan kwa ajil yetu badae, sanasana atakuambia muende club mkalewe na badae lodge ama hotel mkazini, bado hela ya hotel na club.kulewa utatoa wewe
Point taken 🙏
 
Back
Top Bottom