Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

Hapo mkiwa watano ina maana kila mwezi ana laki tano, atajua jinsi ya kuwapanga akiwa kwa mwingine utaelezwa niko kwa dada leo kanibana kweli, akiwa kwako mwingine ataekezwa nina discussion, yaani hapo bado wale wa juu kwa juu ina maana kila mwezi anaweza kupata hata laki nane au saba , miaka mitatu ya chuo ana biashara yake safi au keshajenga kwao halafu utamuona mjinga kumbe ana akili kuliko wewe,
Umemaliza kila kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera mkuu,we fanya kilichokupeleka mambo mengine muachie mwenyewe,nakuhusia habari za kutaka kumfanya kama mke acha kabisa,mambo ya nani unaongea naye acha kabisa,by the way watu watano wakitoa lakilaki inaweza kumsogeza
 
Karibu nikuhudumie hahaha
 
Back
Top Bottom