Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

Hyo laki kwa mwezi n nyingi au una maanisha nn mkuu?
 
Mtoto wa kimeru, mwanafunzi ana miaka 28! Matunzo ya box 1 tu kwa mwezi! Hongera sana mwaka umeuanza vizuri arif..sasa usimchezee umuoe.
anafaa sana kuoa ila mimba kwanza, ntafatilie nijue outings zake zina contents gani ntampeleka maeneo kibao nijue mengi kumhusu
 
Hyo laki kwa mwezi n nyingi au una maanisha nn mkuu?
Naona ndogo sana nilidhani atataka on average 150-200, ninavyo muuona anataka ndoa ila katumia hio kama ya bonding ili apate platform ya maongezi zaidi
 
Hapo mkiwa watano ina maana kila mwezi ana laki tano, atajua jinsi ya kuwapanga akiwa kwa mwingine utaelezwa niko kwa dada leo kanibana kweli, akiwa kwako mwingine ataekezwa nina discussion, yaani hapo bado wale wa juu kwa juu ina maana kila mwezi anaweza kupata hata laki nane au saba , miaka mitatu ya chuo ana biashara yake safi au keshajenga kwao halafu utamuona mjinga kumbe ana akili kuliko wewe,
 
Sio kweli Mkuu dada yake nshaijua ofisi yake
kwahyo kaka binti unamfahamu vizur au...
?????
Leo anakula sikukuu kwa Dadake, kesho niko nae ntaianza project mpya ya Kimeru toka User river Arusha, ntakuwepo Royal Village kwanzia saa 2 ucku hio kesho
???
.........anarudi Morogoro kesho mapema tu saa 6 mchana anainuka Moro na Shabiby
Au mimi ndo sijaelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…