Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

Okey acha nikuulize simple questions tu

1. Una malengo gani na huyo demu?
2. Unapenda kwa dhati

Jibu hayo kwanza before sijakupa ushauri..
 
Mpo kumi mkitoa laki laki KILA Mwezi mtoto anakunja milioni KWA Mwezi. Saafi kabisa.
 
Mmeru!!
***** utakuja kuchomwa kisu wewe.!!
R. I. P in advance
 
Huyo bibi wa miaka 28 chuo anasomea ujinga au nini?
 
anafaa sana kuoa ila mimba kwanza, ntafatilie nijue outings zake zina contents gani ntampeleka maeneo kibao nijue mengi kumhusu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana bwana, tunausanii mwingi. Yaani mahusiano tuyaanze in terms of business transactions halafu utegemee kwenye ndoa aje abadilike. Yaani sijui tunavichwa gani, halafu baadae tunakuja humu na tiktok kulalamika kuwa wake zetu sijui wanashida gani sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. You made a deal with the devil then you must sell your soul, ndoa itakuwa majanga tu na taasisi ambayo itafeli kabisa huko baadae. Tunachanganya ndoa na starehe actually na umalaya. Kizazi cha ajabu kweli.
 
Mwaka juzi December nikiwa natoka Dom naenda Dar kuna mdada nilimpa lift na kwenye gari tulikuwa wawili tu. Na niliamua tu kumpakia pale Dom vile alikuwa mrembo na usafiri wa shida kidogo mwezi December kama mjuavyo. Na kiukweli napenda kusafiri alone sana. Yule dada baada ya kumpakia akataka kutoa nauli nikamwambia nimekuchukua ili unipe support tu kwenye safari na alifurahi sana. Tukafika Moro tukashuka kwenda kula kwa gharama zangu mwenyewe. Safari yote ile tulizoeana kama wapenzi maana tulikuwa tunasimama sometimes kuchimba dawa bila aibu yoyote kutoka kwakwe pale anapohitaji kufanya hivyo hadi tunafika Dar.
Baada ya kama wiki 2 huku tukiwasiliana nilimuomba game nae akakubali na maisha yakaendelea. Tulikutana mara 4 kwa mchezo huo siku tunakutana mara 5 baada ya kumaliza mchezo akawa anahitaji kwa mwezi niwe nampatia 200k. Nikapiga hesabu kwamba kwa mwezi tukikutana tu mara 3 maana yake si chini ya 150k itaisha kwa lodge, nauli na plus 200k yake nitakuwa namaliza around 400k kwa mwezi. Nilimwambia nitakuwa nakupa 100k akakataa akasema hawezi basi baada ya hapo mawasiliano yalishuka na tukawa tumepotezeana.
Kwa huyo wako ndugu yangu hiyo 100k anayotaka kwa mwezi hapo kuna mambo mengine yataibuka utajikuta kwa mwezi si chini ya 300k itaisha
 
Huyo hana tofauti na tapeli...kwa kifupi ni tapeli
 
Vitu vya bure viaua
 
Malaya huwa hawana bei maalum. Unaona umepata wakati unaliwa bila kujua
 
Point taken 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…