Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Hahaa, yani akitoa proof tu ya kazi ya maana inayompa maisha anayodanganyia insta, nisubiri ubungo unisindikize had kibambaUtapo anza kutembea "UCHI" nishtue mm ntakuwa Ubungo mataa nataka nishuhudie majaaliwa yako......na ntakupa ulinzi hadi Kibamba kwa MANGI.
jaribu nikuone huo uarabu koko wako!!! Jaribu nione kama una jeuri hata ya kusogea kilometa 2000 za nilipo! Shindwaaaa!am proudly a gentle..so we ni wakike tu Just wait for pumping guy..mi mwarab bwan kua makini nicje fnya hodi kwa mlango wako please!
Jirani hii ligi ya wala vumbi haitokaa iishe, wana hasira sana ebu waonyeshe wakasirike zaidi!Hahaha...hawa watu wanacheza hawa. Huwa naamini hata wao wenyewe huwa hawayaamini wayasemayo.
Eti naosha vyombo na kuogesha vibabu na kutawaza vibibi!
Hata kama ingekuwa kweli, tatizo liko wapi? Si ni ajira halali tu hizo!
Haya....cheki zaidi mambo yangu hayo.
View attachment 534343
Na hiyo ati inasemaje....? Jina nimelikata kwa sababu zinazoeleweka.....
View attachment 534344
We dada unaonekana Matawi alafu mzuri Mi mwenzako Marioo nitumie contact tuwasiliane NB nazama chumvini km nimerogwa vile
Jirani hii ligi ya wala vumbi haitokaa iishe, wana hasira sana ebu waonyeshe wakasirike zaidi!
Hapo yupo LA gym kuna watoto wa kilatino balaa, Huyu mdada hajakalia kimazoezi yupo yupo tu. Brooklyn sijaona la maana zaidi ya Panya,Mende na Bed bugs tu.
Hahahaaa....happy 4th jirani.
Nitaendelea kuwatandika fimbo za macho hadi watie akili.
Eti naosha vyombo...hata kama...so what?
Majinuni kabisa hao.
Happy 4th.. fireworks wapi jirani?
Mkuu mbona picha zake anaonekana anafanya mazoezi kwenye gyms za kulipia na public playgrounds, ni wapi alisema ana own hizo gyms?Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
Ngabu.! USA baby.Huyu Anaosha Vyombo migahawani na Kutunza Wazee kama mwenzie nyani ngabu
Umeanza kumwangalia lini wee mwenzetu? Unajua alikuwa na blog aliyokuwa anapost uongo wake humo? Insta imeanza juzi juzi si tulishashiba uongo wake muda.Mkuu mbona picha zake anaonekana anafanya mazoezi kwenye gyms za kulipia na public playgrounds, ni wapi alisema ana own hizo gyms?
Hapa topic ilikua urembo wa huyu Dada na si chanzo cha kipato chake. Kama anauza ngada, anajiuza or whatsoever that's her biz ila ni mrembo.
Kama kafanya plastic surgery basi surgeon wake alimpatia maana hakeri kama mademu wengine na anajua kujitunza, ukiangalia mazoezi yake kuna mengine hadi masela hawawezi.
I happen to know her younger sister ni mrembo haswa. Nachelea kusema it runs in their family.
Happy 4th of July
Hata sijajua wapi ila nafikiria kwenda Peachtree City. Got my peeps over there.
Ushawahi kufika pande hizo?
It's a golf cart community. Very lush. Just all around beautiful place.
Hakuna ratchetness huko
Hahaha...hawa watu wanacheza hawa. Huwa naamini hata wao wenyewe huwa hawayaamini wayasemayo.
Eti naosha vyombo na kuogesha vibabu na kutawaza vibibi!
Hata kama ingekuwa kweli, tatizo liko wapi? Si ni ajira halali tu hizo!
Haya....cheki zaidi mambo yangu hayo.
View attachment 534343
Na hiyo ati inasemaje....? Jina nimelikata kwa sababu zinazoeleweka.....
View attachment 534344
Umeanza kumwangalia lini wee mwenzetu? Unajua alikuwa na blog aliyokuwa anapost uongo wake humo? Insta imeanza juzi juzi si tulishashiba uongo wake muda.
Ukisema haijalishi anachofanya mind u yule ana followers kibao na wengi wana admire, part ya mazoezi sijamponda, ila ushaona katika shauzi zake anakuonyesha yuko kazini zaidi ya gym na kuwa mahotelini na vacations 24/7/365? Unadhani hayo ndo maisha ya kila siku ya marekani ndugu?
Hahaha...hawa watu wanacheza hawa. Huwa naamini hata wao wenyewe huwa hawayaamini wayasemayo.
Eti naosha vyombo na kuogesha vibabu na kutawaza vibibi!
Hata kama ingekuwa kweli, tatizo liko wapi? Si ni ajira halali tu hizo!
Haya....cheki zaidi mambo yangu hayo.
View attachment 534343
Na hiyo ati inasemaje....? Jina nimelikata kwa sababu zinazoeleweka.....
View attachment 534344
Inaonekana unamjua vyema huyu mdada[emoji1]. Yupo Minneapolis na wa Somali au vijijini huko. USA nishaisahau[emoji1]Hana jeuri ya kuishi New York..
anaishi Minnesota.
College park na Peachtree kama 9 to 11 miles. Nilifika hapo zamani sana.Aaah no huko sijafika, i believe as long as utakuwa mbali na College park, Union city, east point na Riverdale you'll be safe
Trump ameshaawambia wasio na kazi inayoeleweka waondoke msije mkashangaa akarudishwa na kujikuta anaishia kunywa mbege kule kwaokwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.