Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Umesema kweli fake kila kitu huyu dada
 
Huyu dada kuna ck alitaka kuingia anga za Mange kimambi..alimpa warning..aksema akirudia ..atamrushia kombora..alifyata mkia..hadi leo huwa akiona Mange anamkimbia...
 
Najua maisha ya US vyema. Yeye kaamua kuonyesha upande mmoja wa maisha- upande wa Bata. Kaonyesha kile tu ambacho anataka watu wajue kuhusu yeye. Kama kuna mtu anadhani US ni bata siku nzima bila kazi atakua mjinga, hilo sio kosa la Stella.
Shortly hana kazi anaishi kwa nguvu ya wapopo. I would HATE mdogo wangu aniambie stella ni role model wake, coz kwa shauzi alizonazo angekuwa na kazi ya uhakika , msingeacha kuonyeshwa! Hana karatasi nani atampa kazi? Please
 
Mbona wengi hao maana millionea ni mtu mwenye million ila kwa hapa tz sema awe billionea
Hivyo hivyo, bilionea aingie kwenyw list ya forbes. Sio nisote mie kuntunza mwanaume mzima na ndevu zake
 
Kuliko nifight kupendwa na wazungu bora niwatafta wanaume wakipogolo tu watantosha [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Word
 
Shortly hana kaxi anaishi kwa nguvu ya wapopo. I would HATE mdogo wangu aniambie stella ni role model wake, coz kwa shauzi alizonazo angekuwa na kazi ya uhakika , msingeacha kuonyeshwa! Hana karatasi nani atampa kazi? Please
Wangapi hawana karatasi na wanafanya Kazi tena za maana tu achilia mbali za kubeba box! Ubaya upo wapi Kama anaishi high life off wapopo's money. So long as haombi mtu pesa anatumia assets zake kuwanyonya wapopo I don't understand why would anybody be bothered.
 
Komenti nyingine ni wivu na ulimbukeni unawezaje kubuni KAZI ya MTU na mazingira take wakati humjui umeona picha tu,Aliko hata ndoto haijawahi kukufikisha huko .ila unatoa povu jamani
 
Shortly hana kazi anaishi kwa nguvu ya wapopo. I would HATE mdogo wangu aniambie stella ni role model wake, coz kwa shauzi alizonazo angekuwa na kazi ya uhakika , msingeacha kuonyeshwa! Hana karatasi nani atampa kazi? Please
Mtu asiye na makaratasi hapati kazi? (ya uhakika)?

Na kazi ya uhakika ipoje?

Na isiyo na uhakika iko vipi?
 
duh,stella fanya unachopenda,

Mungu ndie anajua hustles zako,

usiwakilize haters,at the end of the day,hawakulipii bills wala chakula,

sad,kwa kweli what if everything she has/do is fekero?....is she the only one?

want to have everything genuine/real,go to Mars!
 
Hahahaaa....happy 4th jirani.

Nitaendelea kuwatandika fimbo za macho hadi watie akili.

Eti naosha vyombo...hata kama...so what?

Majinuni kabisa hao.
Mkuu umenifurahisha na nimepata maneno mapya ya kutumia, kuchapa fimbo za macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…