Mrisho Gambo acha Unafiki

Mrisho Gambo acha Unafiki

Hakuna cha unafiki, Gambo kaongea ukweli
Wafanyabiashara wa Maduka ya fedha Arusha ni wapiga kura wake lazima awatetee
Nani asiyejua kuwa Magufuli alikuwa mtawala katili, nani angefurukuta enzi zake?
Huu ni muda wa kurekebisha makosa
Makosa hayarekebishwi kwa kuyakana, Point ni kwamba, kwanini anajivua accountability? Anawatetea sasa hivi? Why asingeungana na Lema? Au Lema alikua anawatetea watu gani? Wakati Lema akikemea hili la Bureaus, Gambo aliungana nae? Au alizidi kumshambulia??
 
Ila Magufuli mimi huwa naamini kabisa alikuwa na ugonjwa fulani wa akili. Hivi watu kama kina Gambo, Kigwangala, Makonda, Sabaya, Muro etc mbona ukiwatazama na kufuatilia aina ya uongozi wao unajua kabisa hapa hamna kitu, ni watu wanafiki wanaoishi kijanja janja? Si walisema alikuwa ameweka wana usalama kila mahali? Yule baba aliharibu sana hii nchi. Naona na mamayetu naye kuna majaribio ya kuwekwa ''mtu kati'' na wapambe hivyo asipoangalia atapotea vibaya sana. Ogopa sana watu wanaokusifu kupitiliza.

Halafu pamoja na somo la Magufuli kuhusu madaraka makubwa ya uraisnk kutumika vibaya, ukiwaambia ccm katiba ibadilishwe ili kuondoa madaraka makubwa ya urais hawataki kabisa, maana wanajua madaraka ya urais pekee ndio yanayoweza kuwaweka ccm madarakani.
 
Mimi somlaumu Gambo. Kama hata huku JF, pamoja na kutumia majina bandia, bado watu waliingiwa na woga, sembuse yeye ambaye alikuwa ameteuliwa?

Tuwe wakweli wa nafsi zetu, dikteta mwenye nguvu za dola anatisha. Ambao walionesha ujasiri, ndiyo kama Tundu Lisu, lakini nani ana ujasiri wa kuyapokea yale aliyoyapokea Tundu Lisu au Ben Saanane?
 
Kama unataka Gambo Aache unafiki inakupaswa kumwambia Samia naye Aache unafiki maana hata Sabaya alikuwa anafanya kutokana na maelekezo ya Magufuli.
 
Makosa hayarekebishwi kwa kuyakana, Point ni kwamba, kwanini anajivua accountability? Anawatetea sasa hivi? Why asingeungana na Lema? Au Lema alikua anawatetea watu gani? Wakati Lema akikemea hili la Bureaus, Gambo aliungana nae? Au alizidi kumshambulia??
Uko sahihi kabisa.
 
Serikali inavyombo vingi vya kutekeleza mambo ya mabavu
Wewe umeshaambiwa Magufuli alitumia JWTZ kupora hayo maduka, sasa uliona wapi mkuu wa mkoa akiamrisha JWTZ
 
huyu anafikiri anaweza kupendwa na watu wa Arusha kiasi cha kumpa msimu mwingine? jamaa hmna kitu na humu ndani kunna watu wake wanampigia chepuo hapo hakuna kitu anaonekana kama MSALITI hata afanye nini? hana jipya!
Endapo 2025 watu wa Arusha mtaridhia kumrejesha Gambo kupitia hapo basi nitakuwa nimewadharau moja kwa moja.

Kwa namna jinsi nilivyokuwa nafahamu ngome pekee ya upinzani ambayo ilikuwa ni vigumu kuiyeyusha ni Arusha maana kuanzia watoto, watu wazima na wazee walikuwa wakitamka maneno kumi sita yalitaja Chadema kuwa ndio uhai wao kuzidi huko Hai, Iringa, Kawe, Kigoma, Mbeya, Tunduma, Tarime au Mtwara lakini upepo wa kisulisuli ukapeperusha shina lenye mizizi mtambao na msimiko kisha mbegu isiyoeleweka kuangukia kwenye ardhi isiyoweza kuota vema na kumwagiliwa maji istawi halafu inaanza kashifa!!!!

Gambo huna kazi tena Arusha katafute kwingine itikapo 2025, Lema arejeshwe au mtu mwingine lakini sio huyu jamaa.
 
Halafu pamoja na somo la Magufuli kuhusu madaraka makubwa ya uraisnk kutumika vibaya, ukiwaambia ccm katiba ibadilishwe ili kuondoa madaraka makubwa ya urais hawataki kabisa, maana wanajua madaraka ya urais pekee ndio yanayoweza kuwaweka ccm madarakani.
Kuna pro-CCM wengi kipindi cha Magufuli walikuwa wanalalamikia katiba na kujuta ni kwanini walichewa kuibadilisha. Sasa hivi wameshaona mwelekeo umebadilika nao tayari wamebadilika, hawataki kabisa kusikia tena kuhusu katiba. Kwa namna hii bila wananchi kuamua kukiamsha katiba haitakaa ibadilike.
 
Nimecheka sana
 
Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.

Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.

Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.

Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".

Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake

Wahenga walisema: "Ukweli ni ukweli hata ungetoka kinywani mwa shetani"!!! Kama GT acha kumng'ang'ania mtoa kauli, jikite kwenye kuichambua kauli yake. Kwani ni uongo kwamba kilichofanywa kilikuwa wizi & unyang'anyi?
 
Mimi somlaumu Gambo. Kama hata huku JF, pamoja na kutumia majina bandia, bado watu waliingiwa na woga, sembuse yeye ambaye alikuwa ameteuliwa?

Tuwe wakweli wa nafsi zetu, dikteta mwenye nguvu za dola anatisha. Ambao walionesha ujasiri, ndiyo kama Tundu Lisu, lakini nani ana ujasiri wa kuyapokea yale aliyoyapokea Tundu Lisu au Ben Saanane?
MKuu uko sahihi kabisa, ila ukitaka kujua Gambo ni mnafiki, leo hii mwambie katiba ibadilishwe idhibiti madaraka ya ya urais utashangaa hataki.
 
Kuna pro-CCM wengi kipindi cha Magufuli walikuwa wanalalamikia katiba na kujuta ni kwanini walichewa kuibadilisha. Sasa hivi wameshaona mwelekeo umebadilika nao tayari wamebadilika, hawataki kabisa kusikia tena kuhusu katiba. Kwa namna hii bila wananchi kuamua kukiamsha katiba haitakaa ibadilike.
Hahahaha wana CCM wengi hawana tofauti na Demu, unamchukua unakwenda nae hadi Geto, ukifika anakuuliza "kumbe ndio ulichoniitia hicho?'
 
Alikuwa mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Arusha wakati yote mabaya yakifanyika hawezi kukwepa lawama.

Yale yale ya Makonda kuvamia clouds na maaskari wenye bunduki mikononi.

Anacheza mchezo unaochezwa na Kigwangalla siku za karibuni.
 
Kuna haja gani ya kuwa na wakuu wa mikoa sasa?
Yupo sahihi kwa upande wake, Magu na yeye alikuwa sahihi kwa hiyo style yake ya utendaji, mkuu wa mkoa sio raisi wa mkoa, anaweza kuendeshwa na Raisi vile impendezavyo raisi.
 
Alikuwa mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Arusha wakati yote mabaya yakifanyika hawezi kukwepa lawama.

Yale yale ya Makonda kuvamia clouds na maaskari wenye bunduki mikononi.

Anacheza mchezo unaochezwa na Kigwangalla siku za karibuni.
Wanatufanya wajinga
 
Hili nalo ni Magufuli??
 
Back
Top Bottom