Namuona Makonda kwa mbaaali akijiandaa na tamko zito la kuwaomba msamaha watanzania huku akitririkwa na machozi. Muda utaongea.Kitu anachoweza kufanya ni kuomba msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona Makonda kwa mbaaali akijiandaa na tamko zito la kuwaomba msamaha watanzania huku akitririkwa na machozi. Muda utaongea.Kitu anachoweza kufanya ni kuomba msamaha
Makosa hayarekebishwi kwa kuyakana, Point ni kwamba, kwanini anajivua accountability? Anawatetea sasa hivi? Why asingeungana na Lema? Au Lema alikua anawatetea watu gani? Wakati Lema akikemea hili la Bureaus, Gambo aliungana nae? Au alizidi kumshambulia??Hakuna cha unafiki, Gambo kaongea ukweli
Wafanyabiashara wa Maduka ya fedha Arusha ni wapiga kura wake lazima awatetee
Nani asiyejua kuwa Magufuli alikuwa mtawala katili, nani angefurukuta enzi zake?
Huu ni muda wa kurekebisha makosa
Ila Magufuli mimi huwa naamini kabisa alikuwa na ugonjwa fulani wa akili. Hivi watu kama kina Gambo, Kigwangala, Makonda, Sabaya, Muro etc mbona ukiwatazama na kufuatilia aina ya uongozi wao unajua kabisa hapa hamna kitu, ni watu wanafiki wanaoishi kijanja janja? Si walisema alikuwa ameweka wana usalama kila mahali? Yule baba aliharibu sana hii nchi. Naona na mamayetu naye kuna majaribio ya kuwekwa ''mtu kati'' na wapambe hivyo asipoangalia atapotea vibaya sana. Ogopa sana watu wanaokusifu kupitiliza.
Uko sahihi kabisa.Makosa hayarekebishwi kwa kuyakana, Point ni kwamba, kwanini anajivua accountability? Anawatetea sasa hivi? Why asingeungana na Lema? Au Lema alikua anawatetea watu gani? Wakati Lema akikemea hili la Bureaus, Gambo aliungana nae? Au alizidi kumshambulia??
Hahahaha hayaKama unataka Gambo Aache unafiki inakupaswa kumwambia Samia naye Aache unafiki maana hata Sabaya alikuwa anafanya kutokana na maelekezo ya Magufuli.
Makosa hayarekebishwi kwa kuyakana, Point ni kwamba, kwanini anajivua accountability? Anawatetea sasa hivi? Why asingeungana na Lema? Au Lema alikua anawatetea watu gani? Wakati Lema akikemea hili la Bureaus, Gambo aliungana nae? Au alizidi kumshambulia??
Endapo 2025 watu wa Arusha mtaridhia kumrejesha Gambo kupitia hapo basi nitakuwa nimewadharau moja kwa moja.huyu anafikiri anaweza kupendwa na watu wa Arusha kiasi cha kumpa msimu mwingine? jamaa hmna kitu na humu ndani kunna watu wake wanampigia chepuo hapo hakuna kitu anaonekana kama MSALITI hata afanye nini? hana jipya!
Kuna pro-CCM wengi kipindi cha Magufuli walikuwa wanalalamikia katiba na kujuta ni kwanini walichewa kuibadilisha. Sasa hivi wameshaona mwelekeo umebadilika nao tayari wamebadilika, hawataki kabisa kusikia tena kuhusu katiba. Kwa namna hii bila wananchi kuamua kukiamsha katiba haitakaa ibadilike.Halafu pamoja na somo la Magufuli kuhusu madaraka makubwa ya uraisnk kutumika vibaya, ukiwaambia ccm katiba ibadilishwe ili kuondoa madaraka makubwa ya urais hawataki kabisa, maana wanajua madaraka ya urais pekee ndio yanayoweza kuwaweka ccm madarakani.
Nimecheka sanaHalafu pamoja na somo la Magufuli kuhusu madaraka makubwa ya uraisnk kutumika vibaya, ukiwaambia ccm katiba ibadilishwe ili kuondoa madaraka makubwa ya urais hawataki kabisa, maana wanajua madaraka ya urais pekee ndio yanayoweza kuwaweka ccm madarakani.
Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
MKuu uko sahihi kabisa, ila ukitaka kujua Gambo ni mnafiki, leo hii mwambie katiba ibadilishwe idhibiti madaraka ya ya urais utashangaa hataki.Mimi somlaumu Gambo. Kama hata huku JF, pamoja na kutumia majina bandia, bado watu waliingiwa na woga, sembuse yeye ambaye alikuwa ameteuliwa?
Tuwe wakweli wa nafsi zetu, dikteta mwenye nguvu za dola anatisha. Ambao walionesha ujasiri, ndiyo kama Tundu Lisu, lakini nani ana ujasiri wa kuyapokea yale aliyoyapokea Tundu Lisu au Ben Saanane?
Hahahaha wana CCM wengi hawana tofauti na Demu, unamchukua unakwenda nae hadi Geto, ukifika anakuuliza "kumbe ndio ulichoniitia hicho?'Kuna pro-CCM wengi kipindi cha Magufuli walikuwa wanalalamikia katiba na kujuta ni kwanini walichewa kuibadilisha. Sasa hivi wameshaona mwelekeo umebadilika nao tayari wamebadilika, hawataki kabisa kusikia tena kuhusu katiba. Kwa namna hii bila wananchi kuamua kukiamsha katiba haitakaa ibadilike.
Yupo sahihi kwa upande wake, Magu na yeye alikuwa sahihi kwa hiyo style yake ya utendaji, mkuu wa mkoa sio raisi wa mkoa, anaweza kuendeshwa na Raisi vile impendezavyo raisi.
Wanatufanya wajingaAlikuwa mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Arusha wakati yote mabaya yakifanyika hawezi kukwepa lawama.
Yale yale ya Makonda kuvamia clouds na maaskari wenye bunduki mikononi.
Anacheza mchezo unaochezwa na Kigwangalla siku za karibuni.
Hili nalo ni Magufuli??DC Mrisho Gambo apandishwa kizimbani
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe leo (jana) imemkataa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumwakilisha Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo katika kesi ya madai ya sh.Milioni 96 dhidi yake. Katika kesi hiyo Na. 7/ 2012 mlalamikaji ni Mwanasheria wa halmashauri ya Mji Korogwe, Najum Tekka...www.jamiiforums.com