Thomson mtau
JF-Expert Member
- May 31, 2024
- 259
- 387
Aliogopa hata kujaribu kuvuka …… huyu mtu ndomana makonda alikuwa ana mpiga spanaMradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Pichani naona nyuso zao hazina furaha isipokuwa moja tu, inawezekana Rajabu ndiye aliyekijenga hicho kidaraja?Sasa hapo rajabu hayupo..
Angalizo a hiyo picha alafu mwangalie huyo mama aliyevaa dera la njano.
Ndo mama rajabu.. rajabu mwenyewe anasema hajafurahishwa na hiyo picha
OGOPA KITU KINACHOITWA KARMAMradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
OGOPA SANA KITU KINACHOITWA KARMA.Dhambi hupofusha macho, wao hapo wanaona ni bonge la daraja kwa sababu ya dhuluma wanayowafanyia watanzania
Kwa akili ya kawaida, hapo huwezi piga picha yoyote kama kiongozi na kuisambaza ukijivunia eti umewajibika kwa wananchi kama siyo kupofuka macho ni nini?
Usipo kuwa wa haki Wana mpigia nani?Kuna wana CCM niliongea nao jana, wanasema uchaguzi ukiwa huru na wa haki wanamchagua Tundu Lissu. Wamechoka na haya maigizo ya CCM
Dakika 90 zimeshafika hakuna alilofanya 😅 😅 😅 😅 😅 . Kuna watu hawajitambui na kujielewa baada ya Magu kunyuria huyu jamaa alitakiwa aachane ana siasa.Mradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Kiukweli kura zikiesabiwa kwa uhuru na haki huyu Mama hatoboi watu hawampendi na yeye sijui ana lijua ili.Kuna wana CCM niliongea nao jana, wanasema uchaguzi ukiwa huru na wa haki wanamchagua Tundu Lissu. Wamechoka na haya maigizo ya CCM
Rajabu anapitia misuko suko sana tangu mjomba ake faru rajabu kuaga dunia daaahPichani naona nyuso zao hazina furaha isipokuwa moja tu, inawezekana Rajabu ndiye aliyekijenga hicho kidaraja?
Wewe nawe acha wivuhuu uzi umepigwa PESTICIDES kali sana,...maana hata chawa mmoja hajaugusa,....🤔🤔
Ndio kivuko hicho! kweli dharau!Mradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Wivu mbayaNdio kivuko hicho! kweli dharau!
kweli mkuu,...kuna watu nilitarajia kuwaona wakibubujikwa na machozi ya furaha, lakini ajabu siwaoni,....🤔🤔Wewe nawe acha wivu
Billion moja ya KitanzaniaKimegharimu kiasi gan?
Wivu upi, poorbrain,?Wivu mbaya
Huo nao ni ukorofi mkuukweli mkuu,...kuna watu nilitarajia kuwaona wakibubujikwa na machozi ya furaha, lakini ajabu siwaoni,....🤔🤔
Kweli kabisa upumbavu umezidi kuliko kawaida....Kuna wana CCM niliongea nao jana, wanasema uchaguzi ukiwa huru na wa haki wanamchagua Tundu Lissu. Wamechoka na haya maigizo ya CCM