Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Alimnengulia viuno, haikutosha, akatumbuliwa! Akaona labda amfananishe na Yesu, labda atakumbukwa!
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'aa, wakat ( 640 X 640 ).jpg
 
Nae ni kada mtiifu wa Ccm. Wata kuja na kuondoka. Watatuacha hapa hapa.. IGP tuna subiri nawe umuunge mkono Mh rais utuondolee mwana siasa mmoja aloe baki ambae una mamlaka nae. Naamini umekuwa ukiona vituko vyake akiwa na RC alie tenguliwa. Na huyo sio mwingine bali ni RPC wa Arusha..
 
bado ninatafuta kinachofanya nishindwe kueleza Content nzima ya uzi huu.
ngoja nisubiri wachangiaji wengine, uenda nikang'amua kitu.
 
Tungepata katiba mpya iondoe hivyo vyeo visivyo na qualification hii nchi ingeanza kusogea kwenye maendeleo ya kweli.

Hizo kazi za RC na DC ndio zinasababisha yote uliyoeleza hapo juu, wanaangalia mwenye sura nzuri, mwenye kujua matusi, mpiga ngumi mzuri...
 
Option ya kwanza.

Baada ya utenguzi huu naona Siasa za Arusha zikibadilika. Mrisho Gambo naona akienda KUGOMBEA Jimbo la Arusha Mjini. Kama ikiwa hivyo Lema atakutana na Wakati mgumu Sana kwa fitna na weledi wa Gambo Jukwaani. Itategemea pia kama Chama kitampitisha.
Option ya Pili.
Kuna harufu ya Jimbo la Arusha kugawanywa Mara mbili na kuzaa Jimbo la Muriet. Kama likigawanywa kwa Jimbo hili Gambo atakwenda kugombea Muriet. Hii itampa unafuu Sana Mh Lema Kama Atabaki na kugombea Arusha. Itategemea pia Kama Chama bado kinamuhitaji.
Hasara anayoweza kuipata kwenye Option hizi.
1. Makundi ambayo alikuwa anagombana mayo kila siku kwenye Chama je watamuunga mkono?
2. Kuondolewa kwenye nafasi sio sifa nzuri, yaani "Demotion" sio sifa ya kiongozi anayehitaji kusogea juu zaidi. Ana kazi ya kuwaaminisha waliomteua na wananchi kuwa anaweza zaidi.
All in all Vijana tuna mengi ya kujifunza kwenye Hili tunapokabidhiwa majukumu ya kiuongozi. Bado ana nafasi kubwa tu kwenye siasa, Kila la Kheri.
Screenshot_2020-06-20 (6) Thadei Ole Mushi Facebook.png
 
Mkuu,nenda Arusha ukatafute zile kelele za l"pipoz power"na "makamanda"kama utazisikiaga tena....ukumbuke tuu wafuasi wengi wa Lema walikuwa ni watu wa tabaka la Chini ambao Lema alikua anatumia kigezo cha wao kupewa sehemu ya kufanyia biashara,baada ya rais kuruhusu Machinga na wakapewa soko laa samunge...Lema alipakwa Mavi.......uchaguzi mkuu Njia ni nyeupe kwa CCM bila figisu mkuu....lema anajiandaa kuwa Muhubiri hilo lko wazi.
Si kweli hauishi Arusha mjini kule watu wanaichukia ccm sijui walichanjiwa hata Lema akigombea uchaguzi ukiwa huru ana shida mapema kabisa, ccm ibadili mbinu za ku deal na Arusha hii mbinu yao ya kusifia au kutumia siasa za Namtumbo watafeli tu.
 
Mimi siongelei kiushabiki..nimefanya utafiti wa kina...Arusha mjini kata yenye watu wengi ni Muriet...huyu jamaa alietumbuliwa anaishi Muriet/kwamorombo...kwa mda mwingi alijikita kutatua changamoto nyingi kule na kumpenyezea Lema fitna....ukija sinon ndo usiseme uko kumewekwa Miundombinu ya uhakika...achia mbali wamachinga ambao wanafanya Biashara kila kona yal mji huu....
 
Unaishi Arusha IPI!!?
 
Option ya kwanza.

Baada ya utenguzi huu naona Siasa za Arusha zikibadilika. Mrisho Gambo naona akienda KUGOMBEA Jimbo la Arusha Mjini. Kama ikiwa hivyo Lema atakutana na Wakati mgumu Sana kwa fitna na weledi wa Gambo Jukwaani. Itategemea pia kama Chama kitampitisha.
Option ya Pili.
Kuna harufu ya Jimbo la Arusha kugawanywa Mara mbili na kuzaa Jimbo la Muriet. Kama likigawanywa kwa Jimbo hili Gambo atakwenda kugombea Muriet. Hii itampa unafuu Sana Mh Lema Kama Atabaki na kugombea Arusha. Itategemea pia Kama Chama bado kinamuhitaji.
Hasara anayoweza kuipata kwenye Option hizi.
1. Makundi ambayo alikuwa anagombana mayo kila siku kwenye Chama je watamuunga mkono?
2. Kuondolewa kwenye nafasi sio sifa nzuri, yaani "Demotion" sio sifa ya kiongozi anayehitaji kusogea juu zaidi. Ana kazi ya kuwaaminisha waliomteua na wananchi kuwa anaweza zaidi.
All in all Vijana tuna mengi ya kujifunza kwenye Hili tunapokabidhiwa majukumu ya kiuongozi. Bado ana nafasi kubwa tu kwenye siasa, Kila la Kheri.
View attachment 1484003
Jimbo la Arusha haliwezi kugawanywa tena, kwa sababu Bunge limeshavunjwa,na mjadala wa kugawa jimbo hilo ungetakiwa ujadiliwe bungeni
Piga X hapo kwenyw kugawanya Jimbo.
 
Mimi siongelei kiushabiki..nimefanya utafiti wa kina...Arusha mjini kata yenye watu wengi ni Muriet...huyu jamaa alietumbuliwa anaishi Muriet/kwamorombo...kwa mda mwingi alijikita kutatua changamoto nyingi kule na kumpenyezea Lema fitna....ukija sinon ndo usiseme uko kumewekwa Miundombinu ya uhakika...achia mbali wamachinga ambao wanafanya Biashara kila kona yal mji huu....
Hujui vizuri nature ya watu wa Arusha mjini vizuri wallah
 
Option ya kwanza.

Baada ya utenguzi huu naona Siasa za Arusha zikibadilika. Mrisho Gambo naona akienda KUGOMBEA Jimbo la Arusha Mjini. Kama ikiwa hivyo Lema atakutana na Wakati mgumu Sana kwa fitna na weledi wa Gambo Jukwaani. Itategemea pia kama Chama kitampitisha.
Option ya Pili.
Kuna harufu ya Jimbo la Arusha kugawanywa Mara mbili na kuzaa Jimbo la Muriet. Kama likigawanywa kwa Jimbo hili Gambo atakwenda kugombea Muriet. Hii itampa unafuu Sana Mh Lema Kama Atabaki na kugombea Arusha. Itategemea pia Kama Chama bado kinamuhitaji.
Hasara anayoweza kuipata kwenye Option hizi.
1. Makundi ambayo alikuwa anagombana mayo kila siku kwenye Chama je watamuunga mkono?
2. Kuondolewa kwenye nafasi sio sifa nzuri, yaani "Demotion" sio sifa ya kiongozi anayehitaji kusogea juu zaidi. Ana kazi ya kuwaaminisha waliomteua na wananchi kuwa anaweza zaidi.
All in all Vijana tuna mengi ya kujifunza kwenye Hili tunapokabidhiwa majukumu ya kiuongozi. Bado ana nafasi kubwa tu kwenye siasa, Kila la Kheri.
View attachment 1484003
Kuongeza Jimbo ni kumzidishia mlipa Kodi mzigo tu wa bure kisa watu wapate vyeo na kutumbua Kodi zetu bure ingekuwa uwezo wangu ningepunguza majimbo mengi Sana, maana bungeni kwenyewe huwa ni mipasho mitupu watu hawatetei Raia.
 
Mbona Dr.Mollel ni mbunge wa Sia..na amemuondoa Mwandry..Acha ujinga wa maisha wewe kishimundu
Wewe ujui jeografia ya mkoa wa Kilimanjaro, tuliza mshono...Siha ni sehemu pekee isiokua na Dominion ya Kichaga, Kule ni Wamasai ndo asilimia kubwa,alafu wameru na wachaga pia wasafa...kingdom za kichaga ni Machame,Kibosho, old moshi,Marangu na Rombo...toboa hapo ama weka pandikizi kwenye hizo sehemu nikupe hela...mwarusha ni tabaka la chini kabisa upande huu wa kaskazini mkuu,ni ma ignorant na mapimbi Tuu...mnatawaliwa kubali.
 
Back
Top Bottom