Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Magufuli sijui huwa hawezi kutunza kumbukumbu ya kauli zake, leo anaongea hiki baada ya mwezi mmoja anakuja kuongea kitu kinachopinga na kile alicholisema mwezi mmoja uliopita.
 
Mzee wa Fix leo kaharibu Arusha.
Kujiharibia na kumuharibia Gambo.
Huu upuuzi wa leo Arusha, hadi wanaCCM wa Arusha wamesikitika.
Mzee wa Fix kashindwa kuwa mkweli na muungwana.
 
Wazee wa kufukua makaburi.
Kama kawaida lazima wanafiki waumbuliwe.
Raha ya JF.
 
Ukitaka kusema uongo sharti uwe na kumbukumbu nzuri
 
Back
Top Bottom