Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Ruhususi mikutano ndio uje kuongea unachoongea.. miaka mitano mnafanya mikutano Nyie .. mmewafunga wakina lema, mmewanunua wabunge ila bado mnaogopa na mnajiaminisha upinzani umekufa.Hapana,lema alishindwa kubadilisha mfumo wa siasa zake,,kwa mfano angekuwa vizuri na diwani Nanyaro angekuwa angalau ana matumaini...maana huyo nanyaro ni mjanja.. hata km hamna siasa kila siku yuko masokoni akizungumza na wananchi...sasa lema ajui ku renew policy.
Unalipua Mochwari halafu unajitapa umeua.