Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

baada ya kupigwa chini ubunge,
heche alijiingiza kwenye kubeti akapigwa na muhindi pension yake yote ya ubunge, na sasa amefilisika anambwelambwela na tone tone kwenye vibakuli ili apate chochote kitu cha kujikimu.
Una mimba ya heche sio bure, naona unatematema mate barabarani
 
Kaitoe hiyo mimba kama inasumbua we kada
Gentleman,
huna haja kuwabeza wajawazito waliomo jukwaani kana kwamba hawastahili.

ikiwa huna hoja,
vile vile huna haja ya kutumia mifano ya kibaguzi na kunyanyapaa wasio husika na hoja yenyewe 🐒
 
Gentleman,
huna haja kuwabeza wajawazito waliomo jukwaani kana kwamba hawastahili.

ikiwa huna hoja,
vile vile huna haja ya kutumia mifano ya kibaguzi na kunyanyapaa wasio husika na hoja yenyewe 🐒
Mm sikubagui na huo ujauzito ulionao nakupa njia mbadala ya kudeal nao tu
 
angejiepusha na kamari hususan kubeti asingefilisika pension yake yote ya ubunge na kurejea kuishi nyumbani kwa fedheha kama ilivyo sasa 🐒
Sasa wkt anakupa mimba ungemshauri aache kubet ili hicho kiumbe ukijifungua kisikose matunzo.
 
Sasa wkt anakupa mimba ungemshauri aache kubet ili hicho kiumbe ukijifungua kisikose matunzo.
katoka zake tarime,
kakutana na wajanja wa mjini akina lema, wakamwambia kubeti kuna pesa, si akajibamiza, kilichompata hata sahau maisha yeke yote 🐒
 
Kama watafanikiwa kumvunja bunge kesho....nawaombea wote; wavulugane, wauane, familia zao vifarakane, wengine wapotee wasionekane na wengine wajiteke na wasionekane uraiani, vyombo vyote vya usafiri watakavyovitumia vigeuke mto roho..viwatoe roho mmoja baada ya mwingine. Bungeni waingie wapya tupu na si Hawa waliomaliza muda wao🥴🥴..Ubwela ndio ubaya!!
 
Mkuu amka usije ukajikojolea!
 
Pamoja na kwamba sitaki kuingilia hoja yako
UKIANGALIA HIYO PICHA VIZURI hata kwa akili kidogo tu utaweza kuona kuwa, walipo simama (Gambo na hiyo timu) ni juu ya daraja/Calvati ila mto umehama, hivyo pengine walipeleka Mbunge aone ili awasaidie kifusi cha kuzuia maji yarudi njia yake.
Kitendo cha watu kushabikia daraja la mbao BILA hata kujiuliza kuwa inawezekanaje Mbunge aka fungue kivuko cha shs 30,000; kinaonesha tuna kizazi cha ajabu sana na kisicho tumia akili kufikiri.
Hii ni account yake ya twitter leta kisingizio kingine , naomba Mungu tuendelee hivi hivi tuje kuwa kama Congo. Na CCM waongeze shida maana bado kipimo chetu cha uzalendo wa kuishi maisha ya shida bado hatujakifikia. Maana watu kama nyie ndio mnafanya Tanzania ionekane ipo vizuri kuliko Marekani na Ulaya.
1750968642091.png

Link ya post hii hapa 👇 👇 👇 , watu hawaogopi maana hata mkijua mtawafanya nini ?

View: https://x.com/mrishogambo/status/1922313578654093670
 
Back
Top Bottom