evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Mrisho ni mtumishi wa umma kwa sasa yupo kwenye utumishi wa kisiasa ,ukiisha anauwezo wa kurudi kwenye utumishi wakeKwa mfumo hu na wewe unaamini huyu akikosa ubunge atakua jobless?
Mrisho ni mtumishi wa umma kwa sasa yupo kwenye utumishi wa kisiasa ,ukiisha anauwezo wa kurudi kwenye utumishi wakeKwa mfumo hu na wewe unaamini huyu akikosa ubunge atakua jobless?
Huyo alikuwa mbunge wa wapii?Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea.
I hope you gonna shine with another way Nigga.
Exactly, ndio maana niliuliza; do you think huyu jamaa akikosa ubunge atakua jobless?Mrisho ni mtumishi wa umma kwa sasa yupo kwenye utumishi wa kisiasa ,ukiisha anauwezo wa kurudi kwenye utumishi wake
I wish asihangaike kabisa. Alizokwishatoa zinatosha. Atapoteza hela bure tu.ila huyu navyomuona atatala kupbana na atapoteza pesa bure