Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

Gambo hafai. Hasimamii anachoamini.
Nateuliwa mie. Nitabadili ID pia
 
Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul
Maza afanye reshuffle...Manyara Kuna kijana msomi eng Hhayuma (mb) Hanang apewe unaibu ujenzi Sheria apewe mwingine
 
Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul
Ateuliwe tu kwani CCM yamebaki manyangarakasha yanayojua kubwabwaja tu, wanasiasa walikwisha.
 
Mawaziri wa Sheria wa Serikali ya CCM ni bora wapeleke mswaada Bungeni ili kuingiziwa chupa mkunduni iwe ni moja ya adhabu kwa makosa ya jinai katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Au wamesahau kuwa hili ni Bunge lao la Chama kimoja?
 
Back
Top Bottom