Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul.
Cc. Mbunge Mstaafu,
Uchawi huu, unaweza kumkosesha mtu nafasi kama kateuliwa kwa uchawi kama huu.
 
Hata wakimteua pierre Liquid hakuna shida. Serikali yenyewe ilishajichokea.
 
Mbona wanampendaga huyu jamaa? Huwa analipi special?
 
Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul.
Cc. Mbunge Mstaafu,
Mrisho Gambo sio ata mzawa wa Arusha,hakubaliki.
 
Halafu gambo unakuwaga na mambo ya kitoto sana, sasa watu wa huko Arusha watafaidika na nini ww ukiwa naibu waziri? Unajipigia promo za kipuuzi tu.
Si bora ale shavu P .😁
 
Back
Top Bottom