Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

Hapo ndo mnapoanzaga kuharibu.

Hivi nyinyi WAPUMBAVU wa aina yako mtabadilika lini na kuacha huu Ushamba?!

Hata kama ni kweli kaa kimya! Acha sifa za kishamba! Unamuharibia mwenzako

Serikali hawapendagi mipango yao ijulikane. Kama bettings za Sports-pesa na Premier bet zimekushinda katazame taarabu hayo mengine achana nayo.

ACHA SIFA ZA KISHAMBA!
 
Back
Top Bottom