Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

Dini sidhani, ukanda yawezekana
Dini inamata mzee,Baraza haliwezi kuwa lote la dini moja,huyo rais atapata tabu toka kwa deep state Hadi mitaani,rais akiwa mzanzibar,makamu sharti awe mbara na mkiristo
 
Hapo ndo mnapoanzaga kuharibu.

Hivi nyinyi WAPUMBAVU wa aina yako mtabadilika lini na kuacha huu Ushamba?!

Hata kama ni kweli kaa kimya! Acha sifa za kishamba! Unamuharibia mwenzako

Serikali hawapendagi mipango yao ijulikane. Kama bettings za Sports-pesa na Premier bet zimekushinda katazame taarabu hayo mengine achana nayo.

ACHA SIFA ZA KISHAMBA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…