Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Uchawi huu, unaweza kumkosesha mtu nafasi kama kateuliwa kwa uchawi kama huu.Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul.
Cc. Mbunge Mstaafu,
Acha uchuro weweHabari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul.
Cc. Mbunge Mstaafu,
Mpagani....kwani Kuna udini?Di
Dini gani?
Mrisho Gambo sio ata mzawa wa Arusha,hakubaliki.Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul.
Cc. Mbunge Mstaafu,
CCM Imegota, Jahazi ImezamaTanzania tupo 60M kwanini wajirudie hao hao tu.
Si bora ale shavu P .😁Halafu gambo unakuwaga na mambo ya kitoto sana, sasa watu wa huko Arusha watafaidika na nini ww ukiwa naibu waziri? Unajipigia promo za kipuuzi tu.