Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo: Kwa gharama yoyote lazima Jimbo la Arusha lirudi CCM

Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo: Kwa gharama yoyote lazima Jimbo la Arusha lirudi CCM

Jambo la msingi sio kujiandaa kufa, Bali kujiandaa kuuana.
Mie nadhani ukondoo iwe mwisho sasa, Hakuna mwenye hati miliki ya maisha yetu sembuse hako ka Gambo?
Huyu jamaa ni mtoto sana wa mwaka 1986 ni rahisi kutumiwa kwa jambo lolote lile huwez kumkuta sadick meck sadick akiongea ujinga huo kabla ya kijiudhuru kukwepa fedheha kama hizo
 
Huyu jamaa ni mtoto sana wa mwaka 1986 ni rahisi kutumiwa kwa jambo lolote lile huwez kumkuta sadick meck sadick akiongea ujinga huo kabla ya kijiudhuru kukwepa fedheha kama hizo
Kweli kabisaaaa aiseee
 
CCM kama CCM haina ubaya wowote. Wabaya watu. CCM asili haikuwa na ubaya wowote kama unaofanywa sasa.

CCM asili kwa maendeleo endelevu KAMA ya China.
 
Endapo atautekeleza makakati wake wa kuhakikisha jimbo la Arusha linaenda ccm hata kwa gharama ya damu.
 
Mrisho Gambo anajiamini kwa sababu ya Magufuli wanajiona wanaweza Fanya chochote kama Mungu

Kuna muda / wakati huwa mnamuonea na kumsingizia sana Rais Dr. Magufuli kwa ' Upuuzi ' tu wa ' makusudi ' wa Watendaji wake wachache. Hebu mwacheni Dr. Magufuli aongoze nchi jamani! Mmezidi sasa kumtupia kila aina ya lawama. Tubadilike!
 
Watoto wamejua hulka ya baba, wanakwenda vile wamemjua.. Mapenzi ya Baba yatimizwe..
 
Bora Bavicha wakasafishe kwenye nyumba yao kuna uvundo
 
Back
Top Bottom