kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nenda mahakamani tukutane huko!wewe ni mpuuzi sana, hujui kwa kauli hizo ndo zimechangia Mbowe na wenzake kuwa na kesi hadi sasa. Hukumbuki siku ya kuhitimisha kampeni zao jimbo la Kinondoni? Wewe ni mpuuzi sana, ulitakiwa usime RC hapo ameteleza, siyo kauli ya kutolewa na kiongozi/mkiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa mbele ya vyombo vya hbr.
Kwa kauli hizo, serikali inaepuka vipi lawama za uvunjifu wa amani? Kuna umri ukifika unalazimika kujifunza kuwa na busara.