Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio Tanzania mpya ya Magufuli
Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani akikemea hili,, ndo majukumu yao haya wanaupinzaniKwao ccm ni Bora kuliko Tanzania na watanzania
Mchonga huko aliko anatamani afufuke
Hii ndio Tanzania mpya ya Magufuli
Sometimes it is better kukaa kimya..Bora Bavicha wakasafishe kwenye nyumba yao kuna uvundo
Ni wapi alipo Nape Nnauye Leo????Mrisho gambos anajiamini kwa sababu ya Magufuli wanajiona wanaweza Fanya chochote kama Mungu