gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
HahahahaDodoma majimbo yote ni ccm lakini wote wamekuwa ombaomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaDodoma majimbo yote ni ccm lakini wote wamekuwa ombaomba
Kuna siku nilikaa mahala wakawa wanahadithiana kwa komfidens kabisajinsi walivyoiba kura kinondoni hadi niliona kinyaa.nashukuru mungu hakuna mtu katika familia yangu ambaye ni mwanachama au hata mpenzi wa hilo hicho chama cha mashetani na wauaji.Kauli mbiu ya magufuli hiyo maendeleo mtayasikia huko kwa kenyatta huku tunawekeza kwenye kutawala tu.
Yakiambiwa yameiba kura,kukimbia na viapo kupiga wapinzani yanabisha yenyewe yanatoa siri.
"..madaraka ya kulevya.."
Zingatia kanuni za uandishi hasa unapoandika kichwa cha habari. Epuka kutumia neno ALIMAANISHA wakati tayari umeshatumia maneno MAANA YAKE.Wote tumemsikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha akitoa matamshi ya hatari mno kuwa kwa gharama yoyote ile ni lazima jimbo la Arusha mjini lirudi CCM mwaka 2020!
Akazidi kukoleza moto katika matamshi yake kwa kuwahimiza wanaccm wawafanyie fujo Chadema kila inapowezekana
Nimekuwa nikijiuliza hivi watanzania tumefika huko??
Yaani unapotafuta madaraka ya kisiasa upo tayari kwa lolote hata kwa kutumia vurugu??
Yaani kwa nchi ya Tanzania hivi sasa kutofautiana kisiasa maana yake ujenge uhasama, hata ikibidi upigane na hata damu imwagike??
Tunasubiri kuona hatua atakazochukua Mwenyekiti wa Chama, Magufuli kwa huyu mtu wake aliyemteua, ili amtumbue Mara moja. Kunyamazia kauli hizo hakika nchi atakuwa anaipeleka kubaya sana
Nimekuwa nikiimagine kauli hiyo ya RC Mrisho Gambo ingekuwa imetolewa na kiongozi wa Chadema, ingekuwa tayari keshadakwa na Polisi na keshafunguliwa mashitaka ya uchochezi
Mungu ibariki Tanzania
Nyinyi CCM chekeleeni tu huo upuuzi anaoleta huyo RC wenu Gambo, kikinuka hapa nchini ujue hatuna nchi ya kukimbiliaZingatia kanuni za uandishi hasa unapoandika kichwa cha habari. Epuka kutumia neno ALIMAANISHA wakati tayari umeshatumia maneno MAANA YAKE.
Nafasi nzuri serikalini kwa gharama za kumwaga damu za watanzania wasio na hatia??Jumbo likirudi CCM Gambo ana uhakika na nafasi nzuri serikalini pamoja na pensheni nono nono.
Hahaaaa............Niwaambieni wana Arusha, hatujali ccm au chadema lkn mtu kama huyu tumtafute yeye tumtangulize akawasalimie huko ahera.
It is very trueKauli kama hizi za viongozi wakubwa zitaifikisha nchi pabaya.
Hii hotuba itunzwe,itasaidia "The Hague"
Inshaallah kesho tutafurahiIt is very true
Clip hii itunzwe ili siku ya siku itolewe ushahidi kwenye Mahakama ya kimataifa ya The Hague, kwa Mama Bensouda
Yeye ana jeshi na police na silaha ...Jambo la msingi sio kujiandaa kufa, Bali kujiandaa kuuana.
Mie nadhani ukondoo iwe mwisho sasa, Hakuna mwenye hati miliki ya maisha yetu sembuse hako ka Gambo?
unajua kabisa kuwa kuna watu wakithubutu kusema au kufanya jambo la karaha lazima uteuzi usitenguliwe....lakini wengine wanahimizwa kupiga kazi, sasa kwanini asitiwe lawamani?Kuna muda / wakati huwa mnamuonea na kumsingizia sana Rais Dr. Magufuli kwa ' Upuuzi ' tu wa ' makusudi ' wa Watendaji wake wachache. Hebu mwacheni Dr. Magufuli aongoze nchi jamani! Mmezidi sasa kumtupia kila aina ya lawama. Tubadilike!
unajua kabisa kuwa kuna watu wakithubutu kusema au kufanya jambo la karaha lazima uteuzi utenguliwe....lakini wengine wanahimizwa kupiga kazi, sasa kwanini asitiwe lawamani?Kuna muda / wakati huwa mnamuonea na kumsingizia sana Rais Dr. Magufuli kwa ' Upuuzi ' tu wa ' makusudi ' wa Watendaji wake wachache. Hebu mwacheni Dr. Magufuli aongoze nchi jamani! Mmezidi sasa kumtupia kila aina ya lawama. Tubadilike!
Ni sahihi kabisa unachosemaunajua kabisa kuwa kuna watu wakithubutu kusema au kufanya jambo la karaha lazima uteuzi usitenguliwe....lakini wengine wanahimizwa kupiga kazi, sasa kwanini asitiwe lawamani?
Watakuwa wamefanya kosa la uchochezi...Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani akikemea hili,, ndo majukumu yao haya wanaupinzani