Mrisho Gambo: Mheshimiwa Rais, kukatika umeme ni changamoto kubwa sana

Mrisho Gambo: Mheshimiwa Rais, kukatika umeme ni changamoto kubwa sana

CCM ni Makini swala la umeme lisiwe rungu Kwa wazee ya "baya moja"
 
Pongezi kwako Mtoto wa Boma Primary, Ilala kwa kulisemea hili, BARIKIWA
ni kosa kubwa kwa mwanasisiemu kuweka unafiki kando na kusimamia ukweli. kuelekea uchaguzi wa 2025 lazima watampa onyo na vitisho juu kupitia vikao vyao vya ndani.
 
Naona mmoja mmoja wanaanza kuamka sasa, wale kina Kigwangala na Lusinde iko siku wataona aibu tu, Rais lazima aambiwe ukweli ili kumuamsha ajue changamoto zilizo mbele yake na namna ya kuzikabili, kusifia sana kunadumaza akili.

Kwa namna Gambo alivyoongea na jinsi alivyoshangiliwa na wananchi wengi kwa sauti kubwa hivyo, naamini huu ni wakati mzuri kwa Samia kujiuliza kama kweli anaona Makamba bado anafaa kwenye hiyo wizara.
Kusifia sana sio tu kunadumaza akili, kuna fanya taifa zima lionekane la mazezeta wasiojua kusoma nyakati.
 
Back
Top Bottom