johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!
Gambo amesema hata ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia, kama hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi.
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa wakati "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni," amesisitiza Gambo.
Chanzo: Global TV
My take: Wamsubiri getini wampige risasi ndio sijaelewa?