Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

Hakika
Aache ujinga. Wasiojulikana hawapo tena baada ya muasisi na mfadhili wa wasiojulikana "mtu mbaya kufariki" .

Viranja wa wasiojulikana walikuwa ni Sabaya (yuko ndani) pamoja na Makonda (yuko Kolomije)..
 
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa

Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi

Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi

Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo

Source: Global tv

My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa
What goes around comes around. Law of the Universe !!
 
Hivi, juu ukivuruge wako utaachq lini wewe kubwa jinga?
Shida yako nchi ivurugike na tuanze kutoanq roho sisi kwa sisi ndio uridhike?
Ishu ya wangwe Kama una ushahidi zaidi ya ulitolewa mahakamani fungua kesi upya ili uziponye nafsi za wafiwa.
Ni Kama ccm mna kundi la kuanzisha Vita ili vikikolea mjitokeze kuwalaumu wengine! Binafsi nimekushtukia ndugu project manager!
Hahaha.......hawajambo huko migombani kwa Dereva!
 
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa

Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi

Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi

Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo

Source: Global tv

My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa

Lema ana bahati angekuwepo hapa nchini wangesema ji yeye
 
Kwa hiyo mama ni mnyonge?
 
Wameanza kupigana risasi wenyewe?

Na sasa mbona anawapatia wabaya wake "location"🤣🤣
 
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa

Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi

Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi

Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo

Source: Global tv

My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa
Wacha watafutane tu
 
Back
Top Bottom