Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Tulikuwa na Rais wa ajabu sana. Sijui kama Mungu asingeingilia kati pale 17/ 03/ 21 Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani. Yaani watendaji wa Rais ndiyo majambazi! Aibu sanaUko sahihi kabisa, wakati wa Magufuli, Gambo alitumia madaraka yake kupora fedha za watu, na aliendesha vitisho kwa watu hasa waliokuwa hawamsujudii rais na wafanyabishara. Amejipatia mali nyingi ya dhuluma. Hapo alipo wanaomsaka ni aliowafanyia dhuluma, japo anataka kujifichia kwenye siasa.
Hakuna mwenye tatizo naye kama mwanasiasa, bali watu wanamatatizo naye kama dhulumati. Ana majumba ya kifahari hapo Arusha ambayo hayaendani ni vipato vyake halali toka aanze kazi.
Bado wajinga wanamuita Magufuli shujaa wa Afrika