Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Aache ujinga. Wasiojulikana hawapo tena baada ya muasisi na mfadhili wa wasiojulikana "mtu mbaya kufariki" .
Viranja wa wasiojulikana walikuwa ni Sabaya (yuko ndani) pamoja na Makonda (yuko Kolomije)..
What goes around comes around. Law of the Universe !!Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi
Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo
Source: Global tv
My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa
Hahaha.......hawajambo huko migombani kwa Dereva!Hivi, juu ukivuruge wako utaachq lini wewe kubwa jinga?
Shida yako nchi ivurugike na tuanze kutoanq roho sisi kwa sisi ndio uridhike?
Ishu ya wangwe Kama una ushahidi zaidi ya ulitolewa mahakamani fungua kesi upya ili uziponye nafsi za wafiwa.
Ni Kama ccm mna kundi la kuanzisha Vita ili vikikolea mjitokeze kuwalaumu wengine! Binafsi nimekushtukia ndugu project manager!
Ko unataka kusema Lissu ajilitandika lisasi au sioAsije akajitundika marisasi kama lisu,hii inji inaamani sana asikudanganye mtu
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi
Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo
Source: Global tv
My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa
Kama walivyompasua muolewa ubelgijiWampasue tu
Hapo ndio tukubaliane kwamba nchi hii hakuna wapinzani
Asije akajitundika marisasi kama lisu,hii inji inaamani sana asikudanganye mtu
Mafisadi ni watu wa hovyo sana lakini wanashangiliwa na chadema.
Kwa hiyo mama ni mnyonge?Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi
Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo
Source: Global tv
My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa
Sasa mbona Wakimbizi wa Chadema wamegoma kurudi na nauli wamepewa na CCM?
Kama walivyompasua muolewa ubelgiji
Wameanza kupigana risasi wenyewe?Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi
Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo
Source: Global tv
My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa
Wacha watafutane tuMbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi
Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo
Source: Global tv
My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa
CHADEMA haina wapumbavu kama wapumbavu mliojazana ccm na kupiga watu risas.Mafisadi ni watu wa hovyo sana lakini wanashangiliwa na chadema.