Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

Tulikuwa na Rais wa ajabu sana. Sijui kama Mungu asingeingilia kati pale 17/ 03/ 21 Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani. Yaani watendaji wa Rais ndiyo majambazi! Aibu sana

Bado wajinga wanamuita Magufuli shujaa wa Afrika
 
Aache ujinga. Wasiojulikana hawapo tena baada ya muasisi na mfadhili wa wasiojulikana "mtu mbaya kufariki" .

Viranja wa wasiojulikana walikuwa ni Sabaya (yuko ndani) pamoja na Makonda (yuko Kolomije)..

Na yeye mwenyewe Gambo
 

Pumbavu kabisaa,badala ya kuongea issue za maana za jiji la Arusha yeye anazungumzia kuwindwa!?anawindwa na nani!? Jiji halina stand kuu ya mabasi,jiji halina soko kuu la maana…barabara ya kuanzia hapo posta/tanga general mpaka mbauda/kona ya morombo ingejengwa double kupunguza foleni.

Hayo makaburi juu ya stand kuu yange hamishwa na jiji kujenga majengo makubwa ya uwekezaji wa biashara kama Mall hv….
 

Sasa hawa wasiojulikana watakuwa wanatumwa na sidiemu eti?.maana haiwezi kuwa wanatoka ndani ya serikali ya sisiemu
 
Mh kwa impact ipi labda aliyonayo!!
 
Hilo genge la kijani na njano shida tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…